Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Yani uwe tu mpole, omba msamaha kadri uwezavyo. Wanaume wengi wamezoea kuzaa nje afu wanawaleta kinguvu watoto aw nje kwenye ndoa, wake zao wananuna wee but mwishowe wanajikuta wamezoea tu. hiyo inaapply kwa sababu baba ndo bread winner, so Long as yeye ndo anayetoa hela ya matumizi kunakuwa hakuna tatizo kubwa.
Shughuli iPo kwako Aisee coz mkeo ndo kila kitu kwako. Sijui unaanzaje kumletea mtoto na Unadhani mkeo Atakuwa na moyo wa kumuhudumia mtoto wako? Anyway endelea kumbembeleza mkeo, ukiona hakuelewi basi wafate wazee mnaowaheshimu waongee nae. Wanawake tunakuwaga na huruma, eventually yataisha tu. na Imani umepata somo la maisha kuhusu michepuko