Kanibwagia mtoto mlangoni, sasa ndoa yangu imeshikiliwa na kamba nyepesi mno

Kanibwagia mtoto mlangoni, sasa ndoa yangu imeshikiliwa na kamba nyepesi mno

Hatua aliyochukua huyo m'mke ni hatua ambayo m'mke yeyote mwenye kumpenda sn mumewe angefanya.. Give her a space to thnk! usiendelee kumbughudhi na maneno yako, maana kwass ni km kelele masikion mwake, hamna utachomwambia akakuelewa. Hivyo vumilia hyo hali yake ya kuchuna kwa muda mpk hapo moyo wake utapoachia na kuweza kuongea tn na ww. Ila kwass she need a tym to b alone.. Lakn endelea kumfanyia mambo mazur km kumletea zawadi, kumpikia cku nyngne na ujitahid kuonesha kuwa unajutia tukio ulilofanya. W'wke tunapokosewa na w'ume tunataka tuone kweli m'ume kajutia kosa alilofanya hvyo try to b polite. Usitake kuforce usamehewe haraka no we tulia kwnza. mpetipeti mpk moyo uyeyuke.. Upoooooo!!!!!
 
Kijana una mambo mengi yalokukabili...

1. Umeolewa

2. Una mtoto wa kufikia asiyejulikana kwa 'mumeo'

Hata sijui usaidiwe vipi

dah....mkuu mwanaume mwenzetu....punguza ukali wa maneno kidogo....japo kaolewa kwel.
 
Too late,ulipaswa ujiulize Mara mbili kabla hujakubali ku share chumba na huyo bint,leo unachanganyikiwa kwa issue ya mtoto lakini ingeweza kuwa ulibeba ugonjwa pia ukamletea mkeo!
Na mwanaume hasa unamtoaje mtoto wako sadaka? Yaani kirahisi rahisi tu unamruhusu akampe boyfriend wake ili tu mkeo asijue,seriously?
Hilo umelikoroga Huna budi kulinywa,ongea na mkeo au tafuta Mzee mnayemheshimu awakutanishe ueleze story yako na useme ukweli mtupu(usi shift blames kwa mzazi mwenzio wakati nawe una share yako) then omba radhi na usilazimishe kusamehewa on the spot,muache mkeo adigest taratibu nawe uendelee kuwa mnyenyekevu na uendelee kujutia makosa yako,with time mkeo atarudisha moyo wake na kukusamehe ingawa itachukua muda kuwa kama alivyokuwa zamani. Hapo ukae naye sasa mpange pamoja hatma ya Mtoto wako kama utamhudumia kwa mama yake Isiwe kwa siri au kama unamchukua.
Pole ila ukupigao ndio ukufunzao.
 
Huyu mama mtoto, namfahamu na ni jirani yangu apa. anataka kuolewa muds si mlefu. ana bwana wa kabila moja lenye sifa ya kuua watoto wa kufikia baada ya muda. so angalia asiende na mwanao.
 
Pole sana . Ushauri umetolewa mzuri tu hapa jaribu kuufata.
 
Hivi hakuna uwezekano kuwa wewe ndiyo umebambikiziwa hiyo mimba?
 
You must be a MAN. Yule mtoto ni wako, ulikosea sana kumwachia maana pale unapokaa ndiyo kwao. Kwa nini unaiacha damu yako ikakae utumwani kwakuwa unamwogopa wife. Kosa kubwa. Mweleze mkeo kama anataka uendelee na huyo mwanamke basi mtoto akae huko maana utatakiwa kupeleka matumizi. Endapo anataka uachane kabisa na huyo mwanamke basi mtoto aje na wewe kata mawasiliano kule. Na amlee.

Hasira zote mkuu atazihamishia kwa mtoto wanawak wana kinyongo sna mtot ataish maisha magum sn
 
Hasira zote mkuu atazihamishia kwa mtoto wanawak wana kinyongo sna mtot ataish maisha magum sn

Ni kweli huyo mtt atafutiwe mahalankwingine atatateseka sana maana huyo mke akimilna atakuwa anakumbukanuzinzi wa mme wake hawezi kumpenda kabisa asizidi kumuumiza mkewe kwa ujinga wake
 
Pole sana kunakosa kubwa ulifanya kutaka kupoteza damu yako kwa kubal apewe mtu mwingine vilevile inawezekana mimba alipachikwa na mtu mwingine. Sasa kama ww mkristo onana na wazee wa wakanisa au Mchungaji atasuluhisha mambo yataisha.wanawake huwa wanasamehe ila hawasahau. Then ishi na mke wako kwa akil na muheshimu
 
Dah, pole sana kaka. Ndo maisha. Kuondoka na kuacha familia sio solution. Hta ww ukivaa viatu vyake, utaumia sana. Muache apoe kwanza. Cha muhimu kubali kabisa kwamba umefanya makosa. Tafuta wazee wa busara sana, waongee hilo suala. Wewe kwa kuwa ni mkosaji namba 1, ni ngumu sana kulisolve. Hapo huwezi kutumia ubabe, lazima uwe mpole tu mzee. Fanya yoooote, lakini mzazi mwenzako akikuletea mtoto, usije ukakubali kukaa na huyo mtoto. Mpeleke hata kwa wazazi wako au hta dada yako akae nae. Kinachoniogopesha hapo ni kwamba, kama mkeo sio muelewa, anaweza akatumia uwepo wa huyo mtoto wa nje ya ndoa wakati yeye akiwa ameshaolewa,
kama fimbo ya kukuadhibu. Cha muhimu ni kwamba ongeza mapenzi sana kwa mkeo, huku ukionesha kabisa kabisa kwamba hiyo hali hata wewe inakuumiza.

Kwanini mnapenda kuanza kutafuta watu wa kuwaweka sawa?....ndoa ni ya watu wawili,,, hao pekee ndio wanaweza kuwekana sawa....ishu ishatokea,,, umemueleza mkeo hataki kukubaliana na wala kukusikiliza!!! lazima kuwa MWANAUME. Maadamu keshajua... ki kukaa kimya na kuendelea na yapasayo......tatizo jamaa hapa yeye ndio KAOLEWA......kweli MWANAUME ulikomaa "" mpaka miguuni nimemlamba miguu"""(nimemshika miguu)...utakuwa sio jamii ya kiume...,,ni kivulana kinachopenda mteremko....
 
Kaongee na Viongozi wa dini wamuite na ueleze ukweli wote, atakusikia tu
 
Yatapita tu kama mengine ambayo hupita,kwa sasa hata utoe viapo gani mkeo hawezi kukuelewa na yafaa uwe mtulivu muda utakuweka huru,kama angetaka kuachana nawe basi angefanya hivyo mara moja ila ni hasira tu ndio zinamsumbua kwa sasa.
 
Una shilingi ngapi. ikusaidie.namba yangu......0754 60 45 67..piga kama unashida.....tatizo lako dogo sana na ukichelewa atakutoa ndani maana inaonyesha hapa ameshauriwa na yeye arudishe kisasi.na wewe utakasirika na kuondoka.
 
Dah, yote yanaeleweka, ile mi nakulaumu kitu kimoja, wakati huyo mwanamke anataka umpe hela kabla ya kuja kwa wife kwa nini hukumtafuta? hapo na wewe hukuwa muungwana, Pili, UTAKUBALIJE kuwa sehemu ya kumbambikizi mtu damu yako? tatu, Kwa miaka mi 3 hujataka kujua kabisa huyo mtoto? umefanya vibaya sana, adhabu ya hii dhambi ndugu yangu utaitumikia.

Nashauri uende taratibu tu na wife, ana wakati mgumu, usimpe pressure wala kumbembeleza, be good, mpole na mwambie akiwa tayari muyaongelee akuambie. Ishia hapo tu.
 
si kweli bhana! hilo neno 'lazma' liondoe. Mwanamke mwenye akili na ambaye yuko vizuri na Mungu hawezi toka nje ya ndoa ktk mazingira yoyote! wapo wanaolipiza bt sio wote

​Wanawake hawajafanana ila kila mwanamke hakosi uanawake....
 
Kwanini mnapenda kuanza kutafuta watu wa kuwaweka sawa?....ndoa ni ya watu wawili,,, hao pekee ndio wanaweza kuwekana sawa....ishu ishatokea,,, umemueleza mkeo hataki kukubaliana na wala kukusikiliza!!! lazima kuwa MWANAUME. Maadamu keshajua... ki kukaa kimya na kuendelea na yapasayo......tatizo jamaa hapa yeye ndio KAOLEWA......kweli MWANAUME ulikomaa "" mpaka miguuni nimemlamba miguu"""(nimemshika miguu)...utakuwa sio jamii ya kiume...,,ni kivulana kinachopenda mteremko....

Yaani kama uko Nafsini mwangu. Jamani tuelewe ndoa niyawatu wawili tu, kwanini tupeleke kwa mtu wa tatu? Wewe kwa kuwa ameshalijua hilo, kaa kimya muache asira zake ziishe ila endelea kumpa muda sio kila siku sasa wife umenisamehe, usiulize tena unazidi kumfanya asira zizidi. Mwisho wa siku atakuwa mpole na atakusamehe tu. Ndio ushauri wangu huu.
 
Back
Top Bottom