Hiv mme wa mtu unaejitambua na unasema umeshika dini unaanzaje kulala na mwanamke mwingine usiemfahamu chumba kimoja,
sasa hiyo pesa uliyo serve kipindi hicho ulifanyia nn cha maana zaidi ya kukuletea haya matatizo, khaa!
kwanza naona huna maamuz binafsi unapelekwa sana,
Yule mwanamke alikushaur mlale chumba kimoja ukakubili bila hata kufikiria we ni mme wa mtu, pia inaonesha hata mkeo unamuogopa,
Mpe muda hasira zake ziishe, Halafu tafuta mtu wa heshima unae mwamini mueleze yote akaongee na mkeo, na we uonyeshe kujutia kosa.
Huyo mwanao wa katikati ya ndoa chukua peleka kijijini kwa mama yako au bording school na utoe huduma zote