Nina ganzi mkuu, tokea kitambo kwenye mapenzi Mimi ni starling, kusoma upepo mapema 😃. Kuachana kupo kuumia kupo ila ukiamini hayo unapunguza maumivu yakijakutokea.Wadau wanasema ni swala la muda tu umejipangaje kwa hilo Mkuu?.
Ila haya mambo yapo sana nimepata kuyashuhudia ila hadi mzazi wa binti kukwambia ina maana mna ukaribu mkubwa sana.
Hii inaweza kuwa chai ila haya mambo sio chai yapo huku mitaani, hasa kama kijana una elimu nzuri na tabia yako inayojulikana ni ile njema. Hii situation itakupata tu.
Akikua kua atakutosa tu Ni swala la muda, Tena utaumia mno, wazazi tuache huu udwanzi wa kutafutia watoto wetu wenzi wa
shauri wako ni mzuri. Ila ni tofauti kidogo na kisa changu. Mzazi wake alijua tunapendana na binti yake though hatuna mahusiano mana nlikuwa namuheshimu Sanaa, alichosema ni ushauri ambao kila mmoja ameona unafaa. Kuachwa au kuacha kupo tu haijalishi namna mlivyo pendana☺️ nipo tiyari kuachana.
Nina experience yakutoshaa mkuu..nikiwaa naishi ubungo mwaka 2007 mama mwenye nyumba wangu nilikua namla,kumbe alikua na matatizo ya moyo nilishanga kuna siku aliniambia akifaa nimchukue mwanae awe mke wangu.Hauna experience labda na Mambo Kama hayo. Usikimbilie kutokuamini. Ushauri nimepokea lakini[emoji1]
Huwezi jua, labda alijilipia au alilipiwa na wazazi wake.chuo mwaka 2019......................... umesomea kodi zetu!
Mmhhh!!!,Mara hiyo?.Huko Mara mwenzako katolewa sifongo .. Kisa wazazi wa mwanamke walimchagulia mwanaume wa kuolewa naye....baada ya ndoa siku ya 14 jamaa kaomba mechi kapewa kimoko cha kwanza na cha mwisho alipomaliza na kulala zake binti kachukua upanga na kumkata shingoni mara 3 na baada ya hapo binti[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Amesema baada ya kufanya kitendo hicho Happy alikwenda kwenye nyumba ya mkwewe na kuchukua chakula na kuanza kula.
Nipe namba zake za simu ili nimsisitize kuwa aendelee kukupenda kwa dhati kabisa.Mshana jr, asante kwa kushare uzoefu lakini.Sasa tumependana nae, sio kwa mapendekezo ya Mama ni Kama upendo wowote ule unavyojijenga[emoji22] pia unaweza kuvunjika. Nakubaliana na chochote.
Daah, ni mzuka tu alipata au alimaanisha ?then Kama ulikuwa unapiga mama mwenye nyumba daaah😄 we ni jeshi. Ila mwanae mliwahi kuwa na relationship?Nina experience yakutoshaa mkuu..nikiwaa naishi ubungo mwaka 2007 mama mwenye nyumba wangu nilikua namla,kumbe alikua na matatizo ya moyo nilishanga kuna siku aliniambia akifaa nimchukue mwanae awe mke wangu.
Yes..mwanae na shangazi wa mtoto pia, na walikua wanajuaDaah, ni mzuka tu alipata au alimaanisha ?then Kama ulikuwa unapiga mama mwenye nyumba daaah[emoji1] we ni jeshi. Ila mwanae mliwahi kuwa na relationship?
Huko Mara mwenzako katolewa sifongo .. Kisa wazazi wa mwanamke walimchagulia mwanaume wa kuolewa naye....baada ya ndoa siku ya 14 jamaa kaomba mechi kapewa kimoko cha kwanza na cha mwisho alipomaliza na kulala zake binti kachukua upanga na kumkata shingoni mara 3 na baada ya hapo binti[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Amesema baada ya kufanya kitendo hicho Happy alikwenda kwenye nyumba ya mkwewe na kuchukua chakula na kuanza kula.
Alipoulizwa alikiri kuua na kusema alilazimishwa kuolewa na wazazj wake lakini hakumpenda kabisa[emoji3062]Mmmh Ana roho ngumu mno
Hapana mkuu,sina gari.Wala sina Nia mbaya Kuna wenzako wengi nimewasaidia kwa mtindo huo.Unataka kuniibia mkuu, kwnza una gari?[emoji28]