Kanikabidhi binti yake nimpende

Kwann umeamua kuwaeleza wanajamii forum usia wa mama Eliza?
 
Kwann umeamua kuwaeleza wanajamii forum usia wa mama Eliza?
Nimeona ni jambo la kusisimua tu kwangu, ambalo linaweza kumfundisha mtu kwa namna atakavyo lichukulia. Kubwa zaidi mazuri utakayo mtendea mwingne huwa yanaishi hata kama hatakuonesha.🤝. Ila ni mbaya mkuu wangu? Kwani SI. YEI.GI. anasemaje kuhusu wosia😄
 
Kila la heri boss😁
 
Mchaichai
 
Daaah! Pole kwa kumpoteza mama enu mkuu. Pia hongera kwa kumpata mtoto mzuri kwa baraka za mama ake. Bila shaka mtaishi vema..

#HongeraKwaKujiajiri
 
aiseee...
 
Mapenzi ya wawili na ya kusokomezwa na wazazi au walezi yanatofautiana hata jinsi ya kuhandle stress na changamoto zake kisaikolojia Ni tofauti kabisa
Naona toka vijana walipojiamulia na kuwa huru kujichagulia mwenza /mchumba ..
Mahusiano yamekuwa yakudumu na ndo zimekuwa imara sana siku hizi...

Maana zamani walikuwa wanatafutiwa wachumba na wazazi /wazee .
 
Mahusiano yamekuwa yakudumu na ndo zimekuwa imara sana siku hizi
Zamani unayozungumzia ni ipi io boss? Mbona Mimi naona siku izi ndoa ndo hazidumu kabisa, watu wanachaguana kwa sababu mfano mali au umri ukienda mtu anajitosa tu upendo sio suala kubwa. .vijna wamekuwa waoga kuoa. Ndo mana kila siku hapa jf watu wanazungumzia ndoa katika picha ya kuogopesha kutokana na changamoto nyingi. Mnaweza pendana na mtu Sanaa ila msiweze kuishi pamoja. Yote kwa yote kijana awe na Uhuru wa kuchagua ampendae nmekubaliana na wewe hapo.🤝
 
Maana zamani walikuwa wanatafutiwa wachumba na wazazi /wazee .
Mahusiano ya kipindi icho yalidumu kutokana na kujengwa juu ya sheria na uoga, binti anaamua tu kuishi mtu kwasababu hapakuwa na namna wala kujichagulia mtu hawakufikiria kutokana na tamadani. Then sio wote waliochaguliwa wenzi hawakupendana mana ilikuwa ni tamadani kabla ya utendawazi kuenea. mabinti wengi waliridhika na huo utaratibu kwa kuwa ilikuwa ndio option pekee ya kuingia kwenye ndoa katika jamii nyingi. Pia mafundisho mengne ya kuishi ya mwenzi yalizingatiwa sana pia hapakuwa na Uhuru wa wenzi kuvunja ndoa kirahisi mana wazee walikuwa na nguvu Sanaa kwenye maisha ya vijana wao. Ila ni kwanini wazee walichagulia vijana wao wenzi?
 
Mchaichai
Kuna watu hawaamini Bible, Quran na wengne wamenda mbali hawaamini hata uwepo wa ilani ya siesiemu wanaamini matumbo yao.😂. Una kila sababu ya kutokuamini kisa changu.
 
Naona toka vijana walipojiamulia na kuwa huru kujichagulia mwenza /mchumba ..
Mahusiano yamekuwa yakudumu na ndo zimekuwa imara sana siku hizi...

Maana zamani walikuwa wanatafutiwa wachumba na wazazi /wazee .
Ishu sio kudumu je una amani na furaha katika hauo mahusiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…