Kanikabidhi binti yake nimpende

Nimeelewa point yako .. laikini nahisi hujaelewa nilichokiandika mkuu
 

Mbona usubiri hadi pindi atakapoondoka duniani?
 
Mfano mama angekukabidhi binti yake halafu ukute binti ana sura kama yangu ungemkubali au

ungemwambia mzaa chema "asante kwa zawadi mama" nitamtunza kwa maombi ila si kama mke?

hizi zawadi zingine tunazipokeaga kwasababu ni nzuri tu ila kuna zawadi hata upewe lazma utoe excuse kama 100..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama unavyosema mkuu lazima nimzunguke au namchana tu Nina mtu wangu
 
Wow!!Hongera sana, Mungu awajalie mfikie lengo
 
Nikushauri kitu?

Usianzishe mahusiano ya kimapenzi na huyo binti. No matter how tempted you might be.

Kuwa karibu nae lakini usiruhusu hisia za kimapenzi kwa sasa.

Wewe bado mdogo, na yeye bado mdogo sanaa na kwa vile amebaki mwenyewe (assumptions) ni rahisi kuangukia penzi lako huku akiwa hayupo tayari kabisa kihisia kwa vile tu anaamini maneno ya Mzazi wake kukuhusu wewe.

Jiweke karibu ila sio kimapenzi. Hope unaelewa. Weka limits zako hata akijisogeza kwako. Mtoe lunch hivi, Msaidie hapa na pale muache arudi katika haki ya kawaida kisaikolojia na umuache amalize chuo salama. Usiruhusu mazingira ya kimapenzi. Ila unaweza kukaa nae chini na kumueleza kwamba nia Yako ni njema lakini unataka amalize chuo na ajisimamie halafu afanye uamuzi.

Na wewe endelea na mishe zako, tafuta Kazi jenga maisha Yako. Somewhere along the line if it's meant to be it will be. Hapo barakaka za Mama utazipata na pia binti atakuheshimu knowing that ulimuacha akue na kufanya uamuzi wa ki utu uzima.

Na wewe pia utabarikiwa na hata msipokuwa Mke na Mume , Mr and Mrs Karma watapita bila kukugaragaza kwa sababu hauku mrubuni Dada wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…