Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Tunaganga yajayo sweetheart...

Ila ukinicharukia unanicharukia haswa alafu unanikuta nacheka tu...
Hahahahah unanitiaga hasira wewe
Unajifanya kama hamna kilichotokea natamanigi kupasuka…
 
Sema mkuu,
wapo Watu Kama 6 hivi humu jf-MMU wanamjua kabisa mamaJ, wanne wamemuona picha yake.

Wawili washamuona na kukaa nae kabisa.

Tena MMOJA wao mnafahamiana Sana, alishawai kunywa nae kabisa bia sehem flan wikend moja.[emoji4]
Hahahaha Code yako nisha i crack mbona...

Basi nimeghairisha kumtambua... Mambo yako nakuachia mwenyewe na mama j
 
Hahahaha Code yako nisha i crack mbona...

Basi nimeghairisha kumtambua... Mambo yako nakuachia mwenyewe na mama j
Ha ha ha ....uko smart Sana, Basi kamchimbe vizr atakwambia mamaJ yukoje Maana hata picha alipiga nae[emoji4]
 
Hahaha sio raha hizo bana… tatizo kupitia ukorofi tunatoa hasira nyie mnaona kama masihara
Ha ha ha ...ndo alivyo Sasa mamaJ.
Yeye akifoka foka hivo, baada ya MDA anatulia TU mwnyw.

Nikimfata tukafanya kimoja, ndo anasahau kabisa tunaanza upya[emoji4]
 
Back
Top Bottom