Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Natafuta kumjua mama jAna lake jambo huyo
Kuna kitu anakitafuta nahis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta kumjua mama jAna lake jambo huyo
Kuna kitu anakitafuta nahis
Sema mkuu,Natafuta kumjua mama j
Hahahahah unanitiaga hasira weweTunaganga yajayo sweetheart...
Ila ukinicharukia unanicharukia haswa alafu unanikuta nacheka tu...
Usiweke nitamalizana nae taratibuKumbe umeona, mi siweki picha[emoji4]
Hahahh ili?Natafuta kumjua mama j
Hahahaha Code yako nisha i crack mbona...Sema mkuu,
wapo Watu Kama 6 hivi humu jf-MMU wanamjua kabisa mamaJ, wanne wamemuona picha yake.
Wawili washamuona na kukaa nae kabisa.
Tena MMOJA wao mnafahamiana Sana, alishawai kunywa nae kabisa bia sehem flan wikend moja.[emoji4]
Hahaha sio raha hizo bana… tatizo kupitia ukorofi tunatoa hasira nyie mnaona kama masiharaWanwake wakorofi mna Raha zenu Bhana, hata Kama unastress unajikuta umecheka[emoji4]
Nimeghairi... Inawezakana namjua...Hahahh ili?
Hakika, nammudu vyema kabisa leo atanikomaHa ha ha....nna uhakika yuko ndan ya uwezo wako uyo. unammudu[emoji4]
Sikiliza nyimbo ya Shaggy yakitambo kidogo inasema 'It wasn't me"Hahahahah unanitiaga hasira wewe
Unajifanya kama hamna kilichotokea natamanigi kupasuka…
Ni kweli hakuna kilichotokea wala kinachotokea...Hahahahah unanitiaga hasira wewe
Unajifanya kama hamna kilichotokea natamanigi kupasuka…
Nishaghairi...Usiweke nitamalizana nae taratibu
Ha ha ha ...ndo alivyo Sasa mamaJ.Hahaha sio raha hizo bana… tatizo kupitia ukorofi tunatoa hasira nyie mnaona kama masihara