Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Ha ha ha ...ndo alivyo Sasa mamaJ.
Yeye akifoka foka hivo, baada ya MDA anatulia TU mwnyw.

Nikimfata tukafanya kimoja, ndo anasahau kabisa tunaanza upya[emoji4]
Mapenzi ya hivi ni matamu, mnagombana weee alaf sex inakua ndio patanisho lenu
 
Sema Mangi umekamatika masawee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Weka picha ya mama J...
Anaonekana ni pisi moja kali sana...

Kanikumbusha jambo, aliposema "Na number yangu futa kabisa" Nimejikuta natabasamu...
hahahahaha...
Umemfananisha na mchepuko wako ule? [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…