Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Huu unaitwa uraibu wa ngono chagizwa na pesa
 
Huyu mwamba anaandika Sana ila sijui huo muda wa kuandika anautoaga wapi.

BTW nakushauri ubaki tu na mkeo mkuu achana na michepuko itakuletea mabalaa ya bure
Napenda Sana kuandika, afu natumia MDA mfupi kuliko hata unavofikiria mkuu[emoji4]
 
Sema nini baba J unamtesa sana Mama J kitendo cha kumpa ruhusa ya kuchukua hela ya kikoba wakati ukijua hauna msaada kwa sasa ulimkosea sana
Na kama ulishakuwa na excuse ungeendelea kumplease angekuelewa lakini nawe unakuwa mbabe sana
Yaani huyo dada ashakuwa kama takataka yako
Alafu mkeo wa nyumbani unampelekeaga moto sa ngap?
 
Huo ni uraibu na pia wewe una nafsi au moyo wa mwanamke na unanogewa na kuatamia kitu ambacho ni hatari sana. U don't take bold decisions
Hata sio kuatamia mkuu,
Mi Moto wangu uko kwa wife, ila ngono ya kushiba nakutosheka naipata kwa Mchepuko.
 
Minasubiri jibu unitag
 
Sema nini baba J unamtesa sana Mama J kitendo cha kumpa ruhusa ya kuchukua hela ya kikoba wakati ukijua hauna msaada kwa sasa ulimkosea sana

Kwani kilikua na ubaya gani akianza na iyo 2.8, Tatizo lake uyu maisha ya kuiga,Anataka kuanzia juu wkt hata msingi wa kuuza karanga Hana.

Mi Mwnyw nmeanza na mil.7, unajaribu kuigawa hata haigawanyiki magepu kila Kona. Ila nmepambana mpk nmekuza mtaji.

Tatizo la uyu nikimuendekeza kila anachotaka nayumbisha mtaji wangu, afu nafilisika KABISA.

Lazima niende na mahesabu makali nisiathiri mzunguko wangu.
 
Hata sio kuatamia mkuu,
Mi Moto wangu uko kwa wife, ila ngono ya kushiba nakutosheka naipata kwa Mchepuko.
Kama ndio hivo basi unatatizo kubwa ila mi huwa siaminigi kama hii account ni ya mwanaume, kuna traits fulani sielewi vzuri, sio kwa ubaya ila daah huwa siamini
 
Kweli umalaya unafilisi lakini ilibidi uendelee kumwelimisha,hujanijibu kuhusa maza house maana kila siku upo kwenye umalaya
 
Kama ndio hivo basi unatatizo kubwa ila mi huwa siaminigi kama hii account ni ya mwanaume, kuna traits fulani sielewi vzuri, sio kwa ubaya ila daah huwa siamini
Account yangu ya kiume 100%. Ondoa shaka KABISA chief[emoji4]
 
Duuh Siku mbili tatu hizi pia nilikua na mchepuko sinza unaitwa hilo hilo jina (Mama j (Jasmin)) sijui ndio wenyewe!!!!, ila All in All Hii nchi ukitaka kufa kwa presha/Stress ni wewe tu.
Ha ha ha.....
Huenda, ila uyu wangu Hana mtoto.
Ila jina la Jasmine Ni la kufikirika TU, tunaitana Mimi na yeye TU[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…