PostGE2025 Kanisa Katoliki Baltimore, Marekani wawaombea waliouawa Oktoba 29 katika ibada ya Jumapili Desemba 14, 2025

PostGE2025 Kanisa Katoliki Baltimore, Marekani wawaombea waliouawa Oktoba 29 katika ibada ya Jumapili Desemba 14, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kanisa Katoliki la Baltimore, Maryland, Marekani (eneo la DMV) siku ya Jumapili, Desemba 14, 2025, limefanya ibada maalum ya kuwaombea mashujaa waliouawa wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29 wakipigania haki, ambapo waumini walikusanyika kuwakumbuka na kuwaombea marehemu hao.

Katika ibada hiyo, Kanisa liliimba wimbo wa Taifa kama ishara ya heshima na mshikamano, na baadae Makomborero ulipigwa kuonesha huzuni, heshima na kutambua mchango wa mashujaa hao kwa jamii na taifa.

Hivi lile tamko la katibu mkuu wa UN halina hata kavideo clip Ili tujustify hapa kama counter attack?
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Back
Top Bottom