Kanisa Katoliki la Baltimore, Maryland, Marekani (eneo la DMV) siku ya Jumapili, Desemba 14, 2025, limefanya ibada maalum ya kuwaombea mashujaa waliouawa wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29 wakipigania haki, ambapo waumini walikusanyika kuwakumbuka na kuwaombea marehemu hao.
Katika ibada hiyo, Kanisa liliimba wimbo wa Taifa kama ishara ya heshima na mshikamano, na baadae Makomborero ulipigwa kuonesha huzuni, heshima na kutambua mchango wa mashujaa hao kwa jamii na taifa.
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.
KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.