Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

Wapo wanaotumia na wapo ambao hawatumii padre ni mtu tu km wewe na MIMI wao pia wana mambo yao nje ya Imani wanaporomosha majumba makali kwao kila padre unaemuona kwao nyumbani kwao alipokua kuna mjengo wa maana sio kichuguu hata umkute anausokota msokoto wa bobu wengi ni wajanja nimeishi na ma-father tangu nikiwa mdogo kitu nilikua sipendi ni hicho cha kuona wanapiga tungi Ila baadae nilielewa kwanini wanapiga tungi, wewe upelekwe sehemu bila 100 nyeusi sehemu peupe pee uambiwe hapa tunataka Kanisa liote hapa tena Kanisa la mabillion ya Shilling wewe upo apeche uanze kuchangiwa na waumini wa hapo uanze kulala machakani chumba cha giza huko ndipo tungi inapoanzia kukata mawazo na kubakia kwenye Mstari yaan hapo ukomae mpaka kanisa la mabillion liote kwenye hilo eneo utafanyaje akili kumkichwa utajua wewe unafanyaje Ila Kanisa lazima liote

Nezt
 
Taarifa nzuri.Sasa turudi "Rau madukani";-
1-swala
2-suala
3-(?)
 
Miaka mingi nyuma nimewahi kuandika threads humu nikielezea "uchafu wa kanisa katoliki". Narudia tena kusema, kanisa katoliki ni kanisa linalomilikiwa na Ibilisi. Yaani hili kanisa lilianzishwa na Lucifer mwenyewe na wala sio kanisa la MUNGU.

Anayebisha na aendelee kubisha.
 
Hoja yangu ni "tuhuma kuisha. " Wewe huelewi? Soma hiyo Reply uelewe ndipo ujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…