Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Wapo wanaotumia na wapo ambao hawatumii padre ni mtu tu km wewe na MIMI wao pia wana mambo yao nje ya Imani wanaporomosha majumba makali kwao kila padre unaemuona kwao nyumbani kwao alipokua kuna mjengo wa maana sio kichuguu hata umkute anausokota msokoto wa bobu wengi ni wajanja nimeishi na ma-father tangu nikiwa mdogo kitu nilikua sipendi ni hicho cha kuona wanapiga tungi Ila baadae nilielewa kwanini wanapiga tungi, wewe upelekwe sehemu bila 100 nyeusi sehemu peupe pee uambiwe hapa tunataka Kanisa liote hapa tena Kanisa la mabillion ya Shilling wewe upo apeche uanze kuchangiwa na waumini wa hapo uanze kulala machakani chumba cha giza huko ndipo tungi inapoanzia kukata mawazo na kubakia kwenye Mstari yaan hapo ukomae mpaka kanisa la mabillion liote kwenye hilo eneo utafanyaje akili kumkichwa utajua wewe unafanyaje Ila Kanisa lazima lioteTangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa nashangaa kuona padri anakunywa pombe, tena pombe za kienyeji kama mtukuru na komoni, pombe ya uwele na mahindi. Mshangao zaidi anavuta tumbaku kwa kutumia kiko/mtemba. Ni baada ya kutoka kuendesha ibada ya misa tena padri mwenyewe ni mzungu. Nilishangaa sana mtu wa mungu anatumia vilevi
Nezt