Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

Jeshi la polisi linapaswa kufanya uchunguzi wa kina juu ya mauaji ya mtoto huyu! Huenda unyama huo utakuwa ulitekelezwa hapo kwenye nyumba ya mapadri. Chunguzeni na hao mapadri wenzake, huenda ndo dili zao. Haiwezekani, padri mwenzao atuhumiwe kufanya unyama huo, wenzake nyumba moja wasiweze kujua!
 
Interesting. Nataka kujua imetokeaje huyu jamaa akasoma na kumaliza masomo ya upadre, mpaka akapewa daraja la upadre. Ushirikina wake haukouonekana?
Je malezi ya seminary yamebadilika? Liberation theology is damaging the curch, left and right. Kweli kanisa limeoza
Hivi kwani kuna tofauti gani kati ya ukatoliki na ushirikina? They're quite synonymous, to say the least.

Never ever mistaken people's plausible-sounding words for a noble character.
 
Padre kufikia hatua hiyo ina maana kuna shida kwenye udahili wa hawa viongozi wa KANISA, watu wanaingia upadre bila wito bali shida za familia zao ndio zinawapeleka kanisani kwa imani ya maisha mazuri.
Upadri miaka yote imekua ni kazi kama kazi nyingine sema vijana wa altareni mlimezeshwa kwamba ni wito sijui ujinga gani sasa mnachanganyikiwa kusikia padri anaua albino.

Mapadri wamekua wakifanya matukio ya hovyo miaka nenda rudi, huko ulaya kesi za mapadri kubaka watoto wadogo hazihesabiki na hata papa Francis alikiri kwamba alimlinda padri ama askofu aliebaka watoto huko Berlin wakati akiwa askofu.

Acheni kuwatukuza, hao ni vibaka kama vibaka wengine.
 
Interesting. Nataka kujua imetokeaje huyu jamaa akasoma na kumaliza masomo ya upadre, mpaka akapewa daraja la upadre. Ushirikina wake haukouonekana?
Je malezi ya seminary yamebadilika? Liberation theology is damaging the curch, left and right. Kweli kanisa limeoza
Wewe unavyoamini padre mshirikina ni huyu pekee?
 
Kwa sasa Kanisa Katoriki ni Pango la mashetani! Linahusishwa na uovu wa kila namna mf.Umafia,Madawa ya kulevya,ushoga,Mauaji,nk
Unasema eti kwa sasa? Kwani lini liliwahi kuwa nyumba ya Mungu?

Unategemea nini kwa kanisa linalodai Yesu Kristu amewafia msalabani, wakati huohuo wanamwabudu marehemu Maria???
 
Hawa ndo wale usipoenda kwenye jumuiya na kutoa michango wanatoa povu kama lote,,,,halafu mwisho wa siku wanachokutishia ni misa siku ukifa,,,,kudadeki kama kufa kwenyewe ndo unakuja kufanyiwa misa na paroko kama huyu bora tu tusielewane kila mtu aendelee na formula zake,,,,,,,kanisani tunakuja na sadaka tunatoa ile tu ya kwenye misa mengine kila mtu na 50 zake
Naona ume base kwenye sadaka. Matoleo hayalazimishwi
 
Jeshi la polisi linapaswa kufanya uchunguzi wa kina juu ya mauaji ya mtoto huyu! Huenda unyama huo utakuwa ulitekelezwa hapo kwenye nyumba ya mapadri. Chunguzeni na hao mapadri wenzake, huenda ndo dili zao. Haiwezekani, padri mwenzao atuhumiwe kufanya unyama huo, wenzake nyumba moja wasiweze kujua!
Umeongea point,huenda walienda kkumuulia kanisani
 
Back
Top Bottom