Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

Sasa kwa taarifa hii, wale wote waliokuwa wakitetea na kukanusha kwa kubana pua zao kuwa Rwegoshora si padre wa kanisa Katoliki, watazificha wapi sura zao, au wataingia tu mitini kama ilivyo desturi kwa watu waongo na wazandiki?
Kifupi uongo huwa hauna maisha na haudumu

Uongo kifupi hauna maisha ukweli ndio hudumu milele
 
Sehemu gani nimesema ni yeye peke yake? Nimeuliza swali ambalo nataka kupata majibu au kuelimishwa. Imetokeaje walezi wa seminary mpaka kupewa upadre wasilione tatizo alikokuwa nalo huyu padre? Inawezekana wako wengi, inawezekana wako wachache.
Kanisani, kuna hata mashetani katika mfumo wa uruhani(Freemasons wakiwemo). Only God knows, nani ni halisi na nani ni tapeli. Ila maandiko yanasema wapo mbwa mwitu waliojificha katika ngozi ya kondoo. Yes, hata Tanzania wapo pia.
Acha ujinga wewe, binadamu aweza kubadilika muda wowote. Yuda alikuwa mtu mwema lakini alibadilika na kumsaliti Yesu, Shetani alikuwa malaika mkuu, lakini alikengeuka. Wewe unaendeshwa na chuki tu kwa kanisa katoliki na si vinginevyo.
 
Huyu Fr nilishakutana naye huku Dar kama miezi SITA iliyopita na akajitambulisha kwetu (Mimi na wengine kwamba ni padri wa Jimbo la Bukoba). Huku alidai alikuwa yuko likizo kwa ndugu yake, lakini mimi sikuamini kama yuko kwenye huduma. Wakati huo alikuwa amevaa ndala zimechoka na zina vumbi sana na pia alikuwa hata kama ni asubuhi anaoneka a kama amelewa. Niliwaambia wenzangu kwamba, kama ni padri huenda amesimamishwa. Na picha yake ni kama hii. Anyway, labda alisharudi kundini, lakini kwa jinsi alivyokuwa kipindi hicho kwa kweli sidhani kama alikuwa akihudumu. Hata nywele zenyewe alikuwa kama hajawahi kuchana kwa siku kadhaa.
Hii ndiyo damage control, au siyo???
 
Watanzania wengi huwa tunatoa maamuzi kishabiki. Hatuna kabisa tabia ya kuangalia mambo kwa ukweli wake bali tunaongozwa na hisia za mhusika ana uhusiano gani na mimi au jamii yangu au chama changu au kabila langu. Kiongozi wa dini kufanya hili ni jambo la ajabu na aibu lakini siyo dini yake au kanisa lake limefanya
Leo yapo kwenu mnayajua haya ila kutwa kucha matusi juu ya uislam hayaishi
Waswahili tuna msemo "Mungu hamfichi mnafiq"
 
Mraibu gani anapata hela ya kudhamini wauaji, mtu hata kama kusoma hujui hata picha huoni.
Eti mraibu anashawishi baba, wauaji na wao wanakubali kufanya tukio.
Bado wanabisha tu! Haya, mraibu wao hiyo hapo.
 
Attachments

  • IMG_20240621_153340.jpg
    IMG_20240621_153340.jpg
    4.3 KB · Views: 4
  • IMG_20240621_153329.jpg
    IMG_20240621_153329.jpg
    127.1 KB · Views: 4
Sasa kwa taarifa hii, wale wote waliokuwa wakitetea na kukanusha kwa kubana pua zao kuwa Rwegoshora si padre wa kanisa Katoliki, watazificha wapi sura zao, au wataingia tu mitini kama ilivyo desturi kwa watu waongo na wazandiki?
Wengi huamini kuwa mtu akisimama ktk mimbari basi anakingiwa dhambi. Ujinga mtupu.
 
Hapana. Tatizo haliko huko maana hata mimi nimepitia hayo malezi miaka 9 na kufanya utume miaka 5. Ingawa chuo nilichosoma nilisoma pia liberation theology na pia contextual theology, lakini kwa uzoefu wangu formation Iko vizuri ila sasa kwa chuo nilichoka mimi ilikuwa "very academic" na cross-cultural. Nilisoma chuo ambacho tulikuwa tunasoma wanafunzi kutoka mataifa 27 duniani na watu tofautitofauti - na kutoka nyanja mbalimbali na jinsia tofautitofauti.
Kuna shida gani kwa hawa mapadri wa sasa? Mbona wengine wanaishi kama vile hawajui wanachofanya? Liberation theology goes beyond what we think. It is the same kind of learning, the current leadership in the church is using. Kuruhusu hata yasiyoruhusiwa.
Ndio maana tunaona kashfa zimeenea kila kona ndani ya kanisa. Kila dalili inaonyesha kanisa limejaa uozo ndani na inabidi lianze kujitafakari na kujisafisha. Targeting traditionalists don't make the church holy. Instead, kashfa ndio zinaongezeka
 
Ipo shida kubwa kwenye maandalizi ya hawa mapadri. Na siku hizi wanatumia sana Liberation theology. ilitumiwa mno Centra and Southern America after second Vatical council, kuhalalisha blending ya ukomunist na ukristu. Ukristu hauko compatible na ukomunisti hata siku moja
Hata Mungu hautambui mfumo wa ukomunist ukomunist ni ushetani.
Mfumo sahihi wa maisha ambao Mungu anaeubariki ni ubepari ( fanya kazi)
 
Huyu Fr nilishakutana naye huku Dar kama miezi SITA iliyopita na akajitambulisha kwetu (Mimi na wengine kwamba ni padri wa Jimbo la Bukoba). Huku alidai alikuwa yuko likizo kwa ndugu yake, lakini mimi sikuamini kama yuko kwenye huduma. Wakati huo alikuwa amevaa ndala zimechoka na zina vumbi sana na pia alikuwa hata kama ni asubuhi anaoneka a kama amelewa. Niliwaambia wenzangu kwamba, kama ni padri huenda amesimamishwa. Na picha yake ni kama hii. Anyway, labda alisharudi kundini, lakini kwa jinsi alivyokuwa kipindi hicho kwa kweli sidhani kama alikuwa akihudumu. Hata nywele zenyewe alikuwa kama hajawahi kuchana kwa siku kadhaa.
Hii ng'ombe nyingine inataka kuleta utetezi kwamba huyo padri wenu hakua sawa kiakiri. Huyo anaonekana ni mzoefu wa hayo mambo na yeye ndiye sponsor wa zoez la mauaji.
 
Hata Mungu hautambui mfumo wa ukomunist ukomunist ni ushetani.
Mfumo sahihi wa maisha ambao Mungu anaeubariki ni ubepari ( fanya kazi)

Hawa jamaa wakiongozwa na Society of Jesus Priests, wanaufagilia sana mfumo wa kuunganisha ukristu na makandokando mengine. Ndio maana unaoana wanasema hata ushoga ni sawa. Hakuna jehanam. Mara kanisa liko nyumba zaidi ya miaka 2000

View: https://www.youtube.com/watch?v=4xCCGM8_3jo
 
Upadri miaka yote imekua ni kazi kama kazi nyingine sema vijana wa altareni mlimezeshwa kwamba ni wito sijui ujinga gani sasa mnachanganyikiwa kusikia padri anaua albino.

Mapadri wamekua wakifanya matukio ya hovyo miaka nenda rudi, huko ulaya kesi za mapadri kubaka watoto wadogo hazihesabiki na hata papa Francis alikiri kwamba alimlinda padri ama askofu aliebaka watoto huko Berlin wakati akiwa askofu.

Acheni kuwatukuza, hao ni vibaka kama vibaka wengine.

dah jamaa ana uso wa kiungwana kumbe petroli.
bora waislamu shehe anakula za uso. huku kwingine wanafanywa kama watakatifu. ujinga mtupu. dini ni old mission.
 
Hii ng'ombe nyingine inataka kuleta utetezi kwamba huyo padri wenu hakua sawa kiakiri. Huyo anaonekana ni mzoefu wa hayo mambo na yeye ndiye sponsor wa zoez la mauaji.

Ushahukumu. Kama vile dini nyingine waumini wake hawana mauzauza. Juzi kati kuna mwalimu aliwafumua malinda watoto zaidi ya 15. Hilo ni tatizo la dini au la huyo mwalimu?
Nijuavyo, kanisa halijamtuma huyu Padri kufanya hilo jambo. Ninachoweza kushangaa ni imekuwaje mpaka mtu wa aina hiyo akawa Padri????
 
Back
Top Bottom