Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

Kanisa katoliki limejaa makashifa tu. Mara ushoga, mara kulawiti watoto, mara utakatishaji pesa vatican bank, mara kupora ardhi za watu, mara kula njama ya kumua mtoto alubino...nk. Kanisa liachane na mambo ya kidunia. Lijikite kwenye mambo ya kiroho.
 
Watanzania wengi huwa tunatoa maamuzi kishabiki. Hatuna kabisa tabia ya kuangalia mambo kwa ukweli wake bali tunaongozwa na hisia za mhusika ana uhusiano gani na mimi au jamii yangu au chama changu au kabila langu. Kiongozi wa dini kufanya hili ni jambo la ajabu na aibu lakini siyo dini yake au kanisa lake limefanya
Unatumia nguvu nyingi sana kubishana na kuwaelewesha wazee Mafia + Zanzbar,hawa wanaonaga Dini za wenzao hazina thamani kwao...huwezi bishana na wala Ngamia na wavaa kobazii.
Hawa ni Wafia dini,hachana na mtu anae jitoa kafara kwa kujivika Mabomu aache ameua wenzake msikitini au makanisani akiamini akifa kifo hicho anaelekea peponi na atapewa Zawadi ya MABIKRA 100 wawe wake peke Yake.
 
Izi Dini mbona kama zinaelekea kuonekana kama ni za kimichongo sana....Miaka si mingi ukweli utajulikana
Wewe na mke wako mkibarikiwa kupata watoto kadhaa na kisha baadhi kuwa na mwenendo usiofaa, huwa uzazi wenu/malezi watoto wenu yanakuwa ya mchongo? Ukinunua magari kadhaa na kuyamiliki na kisha baadhi ya magari yako yakapata ajali, huwa manunuzi yako yanakuwa ya mchongo?
 
Unaendaga kanisani au ushatembelea wajenzi kuna Fundi na Saidia Fundi, Saidia Fundi unajua kazi yake ni nini? Kupokea maelekezo kutoka kwa Fundi Mkuu, sasa hio ndio kazi ya Paroko Msaidizi
Fundi Mkuu ni nan?
 
Padre umeharibu.

Narudia, Padre umeharibu.
Samaki 1 akioza kapu lote linatoa uvundo

Wakolosai 2:4-23

Atakwambia na usipokuja kanisani na kujihusisha na masuala ya kanisa letu basi siku ukifa hatukuziki utazikwa na Manispaa.

Mpe Bible mwambie fungua soma Wakolosai 2:4-23 alafu niambie unasemaje?
 
Fundi Mkuu ni nan?
Hayo maswali mengine nenda ukawaulize wenyewe Mimi nimekujibu kwa uelewa wangu, Mambo ya kanisa nilishaacha kujihusisha kitambo sana Mambo ya kujaziana makaunta book kibao nani anataka? Michango mfululizo mpaka unapagawa michango haiishi ikitoka hii inaingia hii mwendo wa michango alafu wanaochangiwa ndio hao wanaenda kumcharanga albino nani anataka? Waulize wenyewe
 
Kama mkatoliki kindaki ndaki naomba kanisa lisilete zile figisu zake za kuwasaidia mapadre kwa kutumia ushawishi kwa serikali ili mapadre wahalifu waachiwe.
Mtakumbuka kuna padre enzi hizo alishtkiwa kwa ulawiti DSM na ikathibitika akatoka kwa rufaa.
Mwaka jana kuna padre Jimbo la Moshi nae alishtakiwa kwa ulawiti na akatoka kimazabe.
Hii ya mauaji na ushirikina ni kinyume na mafundisho ya kanisa linalochukulia utoaji mimba ni kama kuua.Huyu kaua kabisa.
Lakini pia imefika wakati uwepo mtaguso kufuta celibacy(useja)
Ni upuuzi na kujidanganya kwamba mtu mzima ,mwenye afya,anayekula vizruri,hana stress eti atakosa ashki.
Kwa kanuni hiyo ya kanisa ndio maana tunapata kesi nyingi za kulawiti za mapadre.Aidha ifahamike kuoa kwa anayefanya kazi ya kichungaji/padre sio dhambi.
Ref:Wakorintho 7:
Waoe kama wachungaji wa KKKT watulie na ndoa zao kesi nyingi za ulawiti na ushoga zitaisha kwenye kanisa.
Tumsifu Yesu Kristo.
 
Yangekua hayalazimishwi tusingekua tunatishiana mambo ya misa siku ya mazishi.....watu wanakomaa hadi mishipa inawatoka kwenye mimbali kisa senti
Huo ni wajibu. Huwezi ukahitaji huduma inayogharimu fedha nyingi halafu wewe upo upo tu, huchangi ila kazi kulalamika. Benchi moja la kukaa watu sita gharama yake ni Tsh. milioni moja, sasa nani akutolee ukalie benchi? Mambo mengine yanahitaji akili, bila akili mnaweza kubishana na mwehu hadi asubuhi
 
Hii
1. Fr hapa ametajwa kama mtuhumiwa wa kushiriki mauaji. 2. Hakuna muuaji bado aliyetajwa. 3. Polisi watakusanya ushahidi na kama utakuwa na uzito 4. watuhumiwa watakuwa na kesi ya kujibu. 5. Kutafuta utetezi kwa jinsi gani wao si wahusika. 6. Mahakama itapima ni ushahidi wa upande gani na ni wa nani unamtia hatiani. 7. Itatoa hukumu na adhabu. 8. Atakaye ona hajaridhika atakata rufaa. 9. Hivyo, kutoa hukumu kwa sasa na kuwaona watuhumiwa kama wenye hatia ni kuonyesha tu hatujui Katiba, sheria ya kanuni ya adhabu na ya mwendo wa makosa ya jinai zinasemaje. 10. Na mbaya zaidi katika mambo haya tunakimbilia kunyoosheana vidole kutokana na chuki za kiimani tunazo'entertain'. Bure kabisa!
Hii nguvu nyingi inayotumika hapa Wala haiitajiki. Tusubiri mbovu na mbichi. Wala hakuna aliuejua kuwa padri atafanya hivi. Naona unatumia nguvu nyingi ya kimaarifa kuweka mizania fulani kuwa tusubiri mpka mahakama imtie hatiani mtuhumiwa. Wewe acha subiri tuone kitakachotokea. Kama kafanya ahukumiwe.
 
Sio tu kuharibu. Sisi wafuasi tunataka kujua mengi zaidi kuhusu yanayoendelea katika kuwaandaa na kuwaoa hawa watu upadre. Kuna signs ambazo huwa hazijifichi za mtu ambaye yuko sehemu sio sahihi.
Maandalizi kwa vijana hadi kufikia upadri yamejaa unafiki kwa kiwango kikubwa. Hivyo, nivigumu sana kupata watu sahihi! Anaye waandaa, anaishi kinafiki! Wanao andaliwa, nao inabidi kuishi kinafiki ili kuweza kufikia lengo lao! Haya ndo matokeo, padri mtuhumiwa wa kudhamini mauaji ya mtoto mwenye albinism.....aibu na fedheha kubwa kwa daraja la upadri na kanisa katoliki!
 
Hii

Hii nguvu nyingi inayotumika hapa Wala haiitajiki. Tusubiri mbovu na mbichi. Wala hakuna aliuejua kuwa padri atafanya hivi. Naona unatumia nguvu nyingi ya kimaarifa kuweka mizania fulani kuwa tusubiri mpka mahakama imtie hatiani mtuhumiwa. Wewe acha subiri tuone kitakachotokea. Kama kafanya ahukumiwe.
That's what you're saying. I just respond to an issue the way it's reported. I have no interest in it. Kwa hiyo, na wewe unatumia nguvu nyingi ya nini, kwamba ukituhumiwa tu ndiyo umetenda kosa?
 
wagalatia tumeyatimba wallah, tutaficha wapi nyuso zetu ephen_?
Mimi Mkatoliki toka mwanzo nilisimama na kauli iliyotolewa mwanzo na geshi la polisi kwamba muhusika wa mauaji hayo anahisiwia kuwa padre wa Kanisa Katoliki na nitaamini hivyo mpaka itakaposemwa vingine.

Hakuna kujificha,kila mmoja wetu anayo nafsi yake na ana anayoyaficha ndani ya nafsi yake huyo padre ni kama mimi na wewe tu leo kwenye jamii inayotuzunguka tunatazamwa kama mfano wa kuigwa kiasi kuna wazazi wanawashurutisha vijana wao waige tabia zetu wanazoamini kwamba ni nzuri but sometimes tukijifungia kuna mambo tunafanya ambayo laiti wanaotuamini wangeyajua wasingethubutu hata kutukaribia,kuwa padre hakumfanyi mtu kuwa malaika.
 
Kuna mambo mengine si ya kuyabaini mkuu.. Imani zitakufaa...
Yakibainika ndiyo vizuri,hiki ni kisasi cha Mungu kwa wale wanaojifanya kulitaja taja jina lake hovyo huku wakiishi tofauti na kile wanachokihubiri.

Nafarijika sana ninapoona Kanisa linasimamia maadili kwa mkazo mkali sana na kumtupa nje ya uwanja akapambane na mamlaka zinazohusika na uovu wake,kazi nzuri sana kwa viongozi wa Kanisa na jeshi la polisi kwa ujumla.
 
Huo ni wajibu. Huwezi ukahitaji huduma inayogharimu fedha nyingi halafu wewe upo upo tu, huchangi ila kazi kulalamika. Benchi moja la kukaa watu sita gharama yake ni Tsh. milioni moja, sasa nani akutolee ukalie benchi? Mambo mengine yanahitaji akili, bila akili mnaweza kubishana na mwehu hadi asubuhi
Bado tunakula marupurupu ya ukoloni
 
Unatumia nguvu nyingi sana kubishana na kuwaelewesha wazee Mafia + Zanzbar,hawa wanaonaga Dini za wenzao hazina thamani kwao...huwezi bishana na wala Ngamia na wavaa kobazii.
Hawa ni Wafia dini,hachana na mtu anae jitoa kafara kwa kujivika Mabomu aache ameua wenzake msikitini au makanisani akiamini akifa kifo hicho anaelekea peponi na atapewa Zawadi ya MABIKRA 100 wawe wake peke Yake.
Wewe bikra yako alikutoa nani?
Naona unawaonea wivu wenye bikra zao,
Kenge wewe.
 
Back
Top Bottom