Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Tusubiri hukumu. Lakini sasa huyu padre alikuwa anataka utajiri ama. Kama utajiri wa kazi Gani mbona ni kama Hana majukumu na uhakika wa sadaka upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hubadilika, na ni binadamu si malaika. Kufikia daraja la upadre ni safari ndefu ya kimasomo na malezi, wengi huanza wakiwa vijana kabisa, ila kila mtu na hulka yake.Padre kufikia hatua hiyo ina maana kuna shida kwenye udahili wa hawa viongozi wa KANISA, watu wanaingia upadre bila wito bali shida za familia zao ndio zinawapeleka kanisani kwa imani ya maisha mazuri.
Padre umeharibu.
Narudia, Padre umeharibu.
Wewe nea unaongea nini eti utajiri wa kazi gani ivi unafikiri huyo padri hana watoto kwa akilizako?Tusubiri hukumu. Lakini sasa huyu padre alikuwa anataka utajiri ama. Kama utajiri wa kazi Gani mbona ni kama Hana majukumu na uhakika
1. Fr hapa ametajwa kama mtuhumiwa wa kushiriki mauaji. 2. Hakuna muuaji bado aliyetajwa. 3. Polisi watakusanya ushahidi na kama utakuwa na uzito 4. watuhumiwa watakuwa na kesi ya kujibu. 5. Kutafuta utetezi kwa jinsi gani wao si wahusika. 6. Mahakama itapima ni ushahidi wa upande gani na ni wa nani unamtia hatiani. 7. Itatoa hukumu na adhabu. 8. Atakaye ona hajaridhika atakata rufaa. 9. Hivyo, kutoa hukumu kwa sasa na kuwaona watuhumiwa kama wenye hatia ni kuonyesha tu hatujui Katiba, sheria ya kanuni ya adhabu na ya mwendo wa makosa ya jinai zinasemaje. 10. Na mbaya zaidi katika mambo haya tunakimbilia kunyoosheana vidole kutokana na chuki za kiimani tunazo'entertain'. Bure kabisa!Hii ng'ombe nyingine inataka kuleta utetezi kwamba huyo padri wenu hakua sawa kiakiri. Huyo anaonekana ni mzoefu wa hayo mambo na yeye ndiye sponsor wa zoez la mauaji.
Wote si wakatoliki?Usijumlishe hivyo. Those are isolated cases.
Mahakamani ni mfumo tu ambao tunaufata ila ukiangalia katika uhalisia wa jambo watu wamekutwa na viungo vya mtoto bado unasubiri had mahakama iamua ndo ujiridhishe kua wao ndio waliohusika.1. Fr hapa ametajwa kama mtuhumiwa wa kushiriki mauaji. 2. Hakuna muuaji bado aliyetajwa. 3. Polisi watakusanya ushahidi na kama utakuwa na uzito 4. watuhumiwa watakuwa na kesi ya kujibu. 5. Kutafuta utetezi kwa jinsi gani wao si wahusika. 6. Mahakama itapima ni ushahidi wa upande gani na ni wa nani unamtia hatiani. 7. Itatoa hukumu na adhabu. 8. Atakaye ona hajarishika atakata rufaa. 9. Hivyo, kutoa hukumu kwa sasa na kuwaona watuhumiwa kama wenye hatia ni kuonyesha tu hatujui Katiba, sheria ya kanuni ya adhabu na ya mwendo wa makosa ya jinai zinasemaje. 10. Na mbaya zaidi katika mambo haya tunakimbilia kunyoosheana vidole kutokana na chuki za kiimani tunazo'entertain'. Bure kabisa!
Kwahiyo wakatoliki ndio wamemtuma akafanye biashara ya viungo vya binadamu? sio kila mtu ana akili lakini. Hata wewe jichunguze vizuri 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wote si wakatoliki?
Hii ng'ombe nyingine inataka kuleta utetezi kwamba huyo padri wenu hakua sawa kiakiri. Huyo anaonekana ni mzoefu wa hayo mambo na yeye ndiye spons
Kwa hiyo, unadhani nikikufikiria kwamba wewe ni mnyang'anyi, unakuwa mnyang'anyi kweli kwa vile "mahakama ni mfumo..." tu? Watu wangapi huwa inasemekana wamekutwa na mali ya wizi, lakini kwenye kutoa ushahidi unakuta hakuna kitu kama hicho na ndiyo maana inatakiwa kwenye tuhuma tujiridhishe kwanza ndipo tuhukumu? Lazima tuzoeze akili zetu kuchambua na kutofautisha vitu na ndiyo maana pia polisi wanapomaliza upelelezi kuna chombo kingine ambacho kipo kwa ajili ya kutoa haki: ama kwa kukubaliana na upelelezi ulivyokwenda au kwa kutofautiana nao na inabidi kusiwe na vipengele vinavyoleta mashtaka kwenye ushahidi unaotolewa. Sasa wewe kujua X au Y kahusika au hahusiki huwa huna njia ya kutumia, i.e. huwa hutumii akili kutofautisha vitu, unaamini tu kwamba tuhuma ni kweli kama Mimi ninavyoweza kudhani kwamba wewe ni mwizi?Mahakamani ni mfumo tu ambao tunaufata ila ukiangalia katika uhalisia wa jambo watu wamekutwa na viungo vya mtoto bado unasubiri had mahakama iamua ndo ujiridhishe kua wao ndio waliohusika.
Mbona uwa mnasema waislam ni MAGAIDI. Na wewe jichunguze kama unaakili au umejaza matope.Kwahiyo wakatoliki ndio wamemtuma akafanye biashara ya viungo vya binadamu? sio kila mtu ana akili lakini. Hata wewe jichunguze vizuri 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mkuu hizi dini tulizoletewa zina mengi ndani yake,halafu waliotuletea hizi vizazi vya sasa na vijavyo si vya wafia dini kama sisi tulioletewaSehemu gani nimesema ni yeye peke yake? Nimeuliza swali ambalo nataka kupata majibu au kuelimishwa. Imetokeaje walezi wa seminary mpaka kupewa upadre wasilione tatizo alikokuwa nalo huyu padre? Inawezekana wako wengi, inawezekana wako wachache.
Kanisani, kuna hata mashetani katika mfumo wa uruhani(Freemasons wakiwemo). Only God knows, nani ni halisi na nani ni tapeli. Ila maandiko yanasema wapo mbwa mwitu waliojificha katika ngozi ya kondoo. Yes, hata Tanzania wapo pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wagalatia mambo hayo ni kawaida kwao,hata huko rwanda wanakumbukwa kuwa wao ndio chanzo wa mauaji ya kimbariHizi dini zina siri kubwa sana
Paroko ni Paroko tu,hakuna Paroko MkuuWamchunguze na Paroko Mkuu kuna mengi watayabaini.