Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Huyu anaonekana hakua na wito kabisa ,alikuja na yakeChifu kuna vitu mtu anaweza akateleza hili la huyu Padre limevuka mipaka yote yaani kwa jinsi wanavyodahili nashindwa hata kuelewa ilikuaje
Mmoja wapo ni weweNa kuna wapuuzi walikuwa wanatetea kuwa sio karoko 😔
Ukisikia kenge, ndo kama hii sasa.Barua yake iliyosainiwa tafadhari ili tujiridhishe
Hivi kwani kuna tofauti gani kati ya ukatoliki na ushirikina? They're quite synonymous, to say the least.Interesting. Nataka kujua imetokeaje huyu jamaa akasoma na kumaliza masomo ya upadre, mpaka akapewa daraja la upadre. Ushirikina wake haukouonekana?
Je malezi ya seminary yamebadilika? Liberation theology is damaging the curch, left and right. Kweli kanisa limeoza
Wajinga sana hawaHaya wale wajinga waliokuwa wanatetea uovu na upumbavu wa huyu padri wako wapi?
Mara eti sio padri!!
Kuna wakatoliki ni wapumbavu sana hata paroko akibaka wake zao au kulawiti watoto wao, Bado wata mtetea paroko.
Fact kabisaKwa sasa Kanisa Katoriki ni Pango la mashetani! Linahusishwa na uovu wa kila namna mf.Umafia,Madawa ya kulevya,ushoga,Mauaji,nk
Upadri miaka yote imekua ni kazi kama kazi nyingine sema vijana wa altareni mlimezeshwa kwamba ni wito sijui ujinga gani sasa mnachanganyikiwa kusikia padri anaua albino.Padre kufikia hatua hiyo ina maana kuna shida kwenye udahili wa hawa viongozi wa KANISA, watu wanaingia upadre bila wito bali shida za familia zao ndio zinawapeleka kanisani kwa imani ya maisha mazuri.
Bado unataka kubisha tena aiseeBarua yake iliyosainiwa tafadhari ili tujiridhishe
Wewe unavyoamini padre mshirikina ni huyu pekee?Interesting. Nataka kujua imetokeaje huyu jamaa akasoma na kumaliza masomo ya upadre, mpaka akapewa daraja la upadre. Ushirikina wake haukouonekana?
Je malezi ya seminary yamebadilika? Liberation theology is damaging the curch, left and right. Kweli kanisa limeoza
Washenzi hawa watuWatakuja na staili nyingine ya kujitetea na ili ionekane sio Jambo zito
Unasema eti kwa sasa? Kwani lini liliwahi kuwa nyumba ya Mungu?Kwa sasa Kanisa Katoriki ni Pango la mashetani! Linahusishwa na uovu wa kila namna mf.Umafia,Madawa ya kulevya,ushoga,Mauaji,nk
Waktoliki makatili sanaKuna wajinga walianza kumtetea hapa eti kanisa limechafuliwa, kuna mijitu ina roho sijui sijui zikoje, binti kapotezewa uhai kwa ukatili usioomithilika
Karidhishwe na mumeo. PumbavBarua yake iliyosainiwa tafadhari ili tujiridhishe
Naona ume base kwenye sadaka. Matoleo hayalazimishwiHawa ndo wale usipoenda kwenye jumuiya na kutoa michango wanatoa povu kama lote,,,,halafu mwisho wa siku wanachokutishia ni misa siku ukifa,,,,kudadeki kama kufa kwenyewe ndo unakuja kufanyiwa misa na paroko kama huyu bora tu tusielewane kila mtu aendelee na formula zake,,,,,,,kanisani tunakuja na sadaka tunatoa ile tu ya kwenye misa mengine kila mtu na 50 zake
Yangekua hayalazimishwi tusingekua tunatishiana mambo ya misa siku ya mazishi.....watu wanakomaa hadi mishipa inawatoka kwenye mimbali kisa sentiNaona ume base kwenye sadaka. Matoleo hayalazimishwi
Umeongea point,huenda walienda kkumuulia kanisaniJeshi la polisi linapaswa kufanya uchunguzi wa kina juu ya mauaji ya mtoto huyu! Huenda unyama huo utakuwa ulitekelezwa hapo kwenye nyumba ya mapadri. Chunguzeni na hao mapadri wenzake, huenda ndo dili zao. Haiwezekani, padri mwenzao atuhumiwe kufanya unyama huo, wenzake nyumba moja wasiweze kujua!