GE2025 Kanisa Katoliki kuliombea Taifa kwa siku tisa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii novena ya kuomba haki na Amani itajibiwa mapema sana,.
Baada ya hii novena Kuna jambo kubwa litatokea katika nchi hii haswa Kwa wale viongozi wasiopenda Haki katika uchaguzi.
Sasa maombi na kutishiana wapi na wapi tena
 
Acheni upuuzi, acheni ushirikina wenu wa kipuuzi. Sijawahi kuona RC wakiomba na kupata matokeo yoyote wao kila kitu ni km utamaduni tu.
Sahihi kwanza katoliki huamini kuwa miujiza siku za leo haipo
Ilikoma zamani

Ma novena ni utamaduni wao tu
 
Kwa kweli Kanisa lituombee kwa Mungu ili uhuru wetu usipokonywe
 
Nchi ipo Salama chini ya Rais wetu kipenz. SAMIA SULUHU HASSAN October tunatiki hakuna zaid..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…