GE2025 Kanisa Katoliki kuliombea Taifa kwa siku tisa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakishapiga novena wanaenda kutandika pombe kupooza kiu ya pombe ya kufunga na kuomba Novena

Novena bila pombe haiendi

Utapeli utapeli utapeli
Ndo ambavyo wenzetu huwa mnafanya novena?
 
Exactly nimejifunza Mungu ana njia zake za kuwaleta watu pamoja
 
mkuu unaweza kunipa darasa kidgo nbox pls
 
Kipindi jamaa wa Londo anaondoka walikua wamefunga kitu kama icho
 
Uonevu na unyanyasajiwa, uuaji na ukandamizaji ni mkubwa sana Tanzania. Eeee Mungu tenda bwana.
 
Hii novena ya kuomba haki na Amani itajibiwa mapema sana,.
Baada ya hii novena Kuna jambo kubwa litatokea katika nchi hii haswa Kwa wale viongozi wasiopenda Haki katika uchaguzi.
Maembe anaondoka hawa jamaa walikua wamefunga pia kama kumbukumbu zangu kama ziko sawa
 
museveni, kagame, lukashenko ,netanyahu na wadau wao wengine wote bado wapo madarakani
Unajua mkataba wa kanisa katoliki na Tanganyika unajua Kipindi Mkapa anazingua kwanini Nyerere alikua anaenda kushitaki kwa Kalidnali Pengo? JK kasoma seminary unajua ilo?
 
Reactions: Lax
Hapo wameshapanga mipango Yao vyema .
Wanataka wakisha kamilisha hiyo mipngo Yao , Wasingizie nguvu ya maombi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jamaa ni majasusi hayo
Hakika.
Ukristo ni ujasusi wa mbinguni
 
Sahihi kwanza katoliki huamini kuwa miujiza siku za leo haipo
Ilikoma zamani

Ma novena ni utamaduni wao tu
Subiri Nebukadneza atakavyo anguka ndio utajua wanaamini miujiza ipo au laaah.
 
Patachafuka,na bahati mbaya kwao machafuko hawayawezi,waoga
Unawajua roma unawaskia Rais wa Marekani alisitisha shughuli zote za Taifa akaenda Msibani kwa papa juzi hapa msilete mchezo na Roma unajua Mkataba wa Roma na Tanganyika jipe mda ujifunze vitu Unajua huyu bi mkubwa alishaenda Roma akutana Papa aliyefariki JK huyo kasoma seminary kabisa
 
Nothing comforts a government, especially in a failing country like TZ more than watching its citizens gather to pray for change, instead of holding them accountable.

When citizens choose prayers over actions the government relax and the leaders enjoy.

They know those prayers won't move the system even an inch, and they won't change anything, but they will keep the people hoping and waiting.

Just more time to drain the nation while everyone waits for miracles that will never happen..!!!

Poor Bongoland.
 
zingatia na moment of silence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…