GE2025 Kanisa Katoliki kuliombea Taifa kwa siku tisa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unajua mkataba wa kanisa katoliki na Tanganyika unajua Kipindi Mkapa anazingua kwanini Nyerere alikua anaenda kushitaki kwa Kalidnali Pengo? JK kasoma seminary unajua ilo?
hayo yote uliyoyasema siyafahamu mkuu - kiukweli kabisa yani


nachosema mimi museveni,kagame,lukashenko,netanyahu na wadau wengine wa ina yao bado wapo madarakani na wamekaa madarakani kwa muda mrefu tu ---- hoja yangu inaishia hapo
 
hayo yote uliyoyasema siyafahamu mkuu - kiukweli kabisa yani


nachosema mimi museveni,kagame,lukashenko,netanyahu na wadau wengine wa ina yao bado wapo madarakani na wamekaa madarakani kwa muda mrefu tu ---- hoja yangu inaishia hapo
😂😂
 
Unaharisha vitu gani wewe!!?.. wajinga sana nyinyi!!
 
Unawajua roma unawaskia Rais wa Marekani alisitisha shughuli zote za Taifa akaenda Msibani kwa papa juzi hapa msilete mchezo na Roma

netanyahu na trump na biden wamelipua sana middle east huko mkuu, licha ya wito wa Roma, hili limekaaje mkuu?
 
Novena ya Ritha wa Cascia imenitendea miujiza
 
Novena ni hatari sana hasa ukiombea jambo mara nyingi linakuja na majibu ya uhakikq:

Mfano unaweza funga Novena kuombea Mvua au kupata viongozi bora au kuombea Taifa Haki itendeke na Amani iwepo.
 
Hakika kwa Novena, jibu la Mungu litapatikana.

Hatuombi mtu yeyote afe bali tutaomba Tanzania ibadilike kutoka nchi ya dhuluma na kuwa nchi ya haki ili amani ya nchi na wananchi, ikapate kutawala. Tutamwomba Mungu wa haki atuepushe na watawala wadhulumaji wa haki walio kinyume cha haki.

Mungu kwa hekima yake ndiye anayeamua Taifa liondokane kwa namna gani na hao watawala walio kinyume cha haki, wanaoteka na kuua, na kuwabambikia kesi binadamu wenzao kwa sababu ya tamaa ya madaraka, na uroho wa utajiri. Tutaomba wanaotafuta madaraka kwa dhuluma, hata wakiyapata, kamwe wasifurahie bali wakaujutie uovu wao.

Mapendekezo yangu:

1. Tarehe 14 tuanze na Novena ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, iende mpaka tarehe 22.

2. Tarehe 23 alasiri saa 9, tuanze Novena ya masaa 15 mfululizo, ya Rita wa Akashia. Yaani kuanza saa 9 alasiri, kuendelea usiku kucha mpaka saa 1 asubuhi tarehe 24, maana yake tuwe kanisani tukisali usiku kucha mpaka asubuhi tunaunganisha na misaa ya saa 12 alfajiri.

3. Kisha kila mmoja aendelee na Novena ya moyo Mtakatifu wa Yesu, angalao kwa mwezi mzima zaidi.

Mungu wetu ni Mungu wa haki. Hakika nawaambieni, tukimwomba kwa dhamira na unyenyekevu, wala hatakawia kujibu. Na jibu hatumpangii Mungu, atajibu kwa hekima yake, lakini ni jibu kwa maombi yetu.

Daima nimeuona mkono wa Mungu kila nilipomwomba. Naamini si mimi pekee yangu bali wote wamtegemeao Bwana.
 
Tutakuwa pamoja katikaa sala
 
Hii akisali na kufunga mama mjamzito inajibu kwa mpigo tena inajibu hatari amani na haki itapatikana ndani ya muda mfupi
 
Katoliki sio taasisi ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…