GE2025 Kanisa Katoliki kuliombea Taifa kwa siku tisa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakika Mimi sio mkatoliki ila nimeshafanya maandalisi ya kusali nitakuwa pan ja nao na nimenunua rozari Leo tar 10/8/25 !! Huenda nikaachana na uluteri Kwa kuwa kkkt wanakumbatia wanyang'anyi na wauaji!!! Napenda zangu RC
 
Kuna mtu akiona hivi anakuwa na wasiwasi anajihisi mambi haya yanaelekezwa kwake.

Kataa wahuni sababu wahuni huwa hawabadiliki.
 
πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–• Una binua matako na kejeli juu sababu waume zako kinachowasaidia ni makafara ya damu za watu na wanyama...
 
Tumsifu Yesu Kristu...

Novena siku ya kwanza leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…