HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Mungu alioanga julai halafu akatoa barua August hahaaa wazee wa kujitekenya na kujinuka hawajashtuka kama hzo ni across za nyumbuAisee hayo maombi hatafiki popote
Yaani badala ya kuabudu Mungu wakatoliki mnaenda kuabudu Ekaristi
Biblia imeagiza kuabudu Mungu tu
Aiseeee upagani mtupu
Kwanini msiende kusaali mahospiitalini na magerezani??Novena Ina nguvu sana ukisali kwa Imani.
Familia yako umeiombea kwa imani mara ngapi na ikafanikiwa?Tukiomba kwa Imani,itabadili.
SIKU 9 NI SHARI HII,HAYA NDIYO MAKANISA YA ZAMA HIZI, CATHOLIC NDIYO ILICHOCHEA MAUAJI RWANDA,[MUNGU WETU SISI NDIYE MUNGU WAO PIA]Novena Ina nguvu sana ukisali kwa Imani.
Upumbavu pia ni dhambi,uliwahi kuiombea familia yako hiyo novena?Tukiomba kwa Imani,itabadili.
Vipi kuhusu vita ya israel na kongo hawaijui novena?Ndo hicho kilichopo mbioni kuja
Just work hard money and success is not spiritual reward NiggaKwanini msipite mnaombea kila kijiji au familia waweze kufanikiwa kimaisha,kukiwa na mafanikio ktk kila familia amani itakuja yenyewe tu.
Amina ya ki?,ndawo,mporah.Amina.
Hivi hii ni mara ya Kwanza kuna tokea Novena kama hii au ni Jambo la mara Kwa mara kugombea nchi Amani na Haki Kwa kutumia NovenaWakishapiga novena wanaenda kutandika pombe kupooza kiu ya pombe ya kufunga na kuomba Novena
Novena bila pombe haiendi
Utapeli utapeli utapeli