Tetesi: Kanisa Katoliki kusitisha huduma za kijamii endapo uminywaji wa haki utaendelea kutukia Nchini

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
731
Reaction score
2,707
Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.

"....baba Maaskofu wanakribia mno kuungana na watoe tamko kali litalo waacha watu wengi midomo wazi."

"....juzi Rais aliomba akutanishwe na Mwadhama ili angalau kutuliza munkali wa mambo baina ya Serikali na Kanisa."

"....huenda huduma za kijamii zitolewazwo na Kanisa zikasitishwa hadi pale uminywaji wa haki utakapikomeshwa."

Duru.
 
yatasemwa yooooooooooooote la kweli, time will tell! spacetime
 
Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.

"....baba Maaskofu wanakribia mno kuungana na watoe tamko kali litalo waacha watu wengi midomo wazi."

"....juzi Rais aliomba akutanishwe na Mwadhama ili angalau kutuliza munkali wa mambo baina ya Serikali na Kanisa."

"....huenda huduma za kijamii zitolewazwo na Kanisa zikasitishwa hadi pale uminywaji wa haki utakapikomeshwa."

Duru.
Sii rahisi kwani watu watakufa mno na uchumi utavurugika.
 
Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.

"....baba Maaskofu wanakribia mno kuungana na watoe tamko kali litalo waacha watu wengi midomo wazi."

"....juzi Rais aliomba akutanishwe na Mwadhama ili angalau kutuliza munkali wa mambo baina ya Serikali na Kanisa."

"....huenda huduma za kijamii zitolewazwo na Kanisa zikasitishwa hadi pale uminywaji wa haki utakapikomeshwa."

Duru.
Jifunzeni kuchuja mambo ya ukweli na uongo basi.
 
Hili haliwezekani kwasababu kwao ni vitega uchumi na biashara inayowaweka mjini labda zingekuwa zinatolewa bure ungeweza kudanganya
 
Serikali ina hospital kila wilaya,shule, zahanati kila kata, hospital za rufaa, mikwala ya kitoto
Kila kata ina zahanati, kila kata ina shule za msingi na sekondary na bado serikali inatoa ruzuku kwa kanisa kuendesha hospital za kanisa. Serikari ipo imara na itaendelea kuwa imara.
 
Huu ni uongo,kuliko kutuadhibu sisi raia wema,watoe tamka la kuwakata waumini wasishiriki uchaguzi
 
  • Thanks
Reactions: K11
Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.

"....baba Maaskofu wanakribia mno kuungana na watoe tamko kali litalo waacha watu wengi midomo wazi."

"....juzi Rais aliomba akutanishwe na Mwadhama ili angalau kutuliza munkali wa mambo baina ya Serikali na Kanisa."

"....huenda huduma za kijamii zitolewazwo na Kanisa zikasitishwa hadi pale uminywaji wa haki utakapikomeshwa."

Duru.
Sio kweli. Acha kuzua taharuki. Mama kanisa hafanyi kazi namna hiyo. Wajibu wake ni kuonya, kukemea, na kushauri namna njema ya kufanya. Kanisa linatoa huduma kwa jamii kama sehemu ya utume wake kwa kanisa linalosafiri( Watu) na sio serikali.
 
Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.

"....baba Maaskofu wanakribia mno kuungana na watoe tamko kali litalo waacha watu wengi midomo wazi."

"....juzi Rais aliomba akutanishwe na Mwadhama ili angalau kutuliza munkali wa mambo baina ya Serikali na Kanisa."

"....huenda huduma za kijamii zitolewazwo na Kanisa zikasitishwa hadi pale uminywaji wa haki utakapikomeshwa."

Duru.
Wao sio serikali, wasichanganye dini na siasa
 
Kusitisha huduma za Kijamii hapo ni Big No, Kanisa huwa halina utaratibu wa kufanya kisasi
 
Back
Top Bottom