Eti mwadhama.Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.
"....baba Maaskofu wanakribia mno kuungana na watoe tamko kali litalo waacha watu wengi midomo wazi."
"....juzi Rais aliomba akutanishwe na Mwadhama ili angalau kutuliza munkali wa mambo baina ya Serikali na Kanisa."
"....huenda huduma za kijamii zitolewazwo na Kanisa zikasitishwa hadi pale uminywaji wa haki utakapikomeshwa."
Duru.
What the hell is he ?