Tetesi: Kanisa Katoliki kusitisha huduma za kijamii endapo uminywaji wa haki utaendelea kutukia Nchini

Sii rahisi kwani watu watakufa mno na uchumi utavurugika.
Rudi milembe kuja na facts based on data from 1961 na sasa 2024 -25 hatutaki taarabu kwa hyo katoliki ni kubwa kuliko serikali hua mnaongopewa wapi jumapili
 
Uongo
 
Uongo mkubwa huu. Never maaskofu siyo wajinga hivyo
 
Wapewe hela na serikali halafu wasitoe huduma? Acheni kudanganya.
 
Hawana jeuri hiyo kupitia mahospital wanajipatia mabilioni ya MoU mwaka juzi Bugando sister mkurugenzi wa fedha alijirusha sababu ya ufisadi wa fedha za MoU
 
..

..Waungane na wito wa NRNE.

..bila mabadiliko wananchi wasiende kupiga kura.
 
wacha kuharisha jf mbweha wewe watu wangejazana kwa mwamposa kama huduma hizo zingekuwepo?
Kwamba walijazana kwa mzee wa kikombe kwa kuwa hakuna hospital!?..una kichwa au dafu!?
 
Ngumu Sana hii, hasa ukichukua kiwango cha ruxuku kanisa kinapata kutoka serekalini.
 
Hawawezi
 
Hawawezi kufanya hivyo hata wao wanataka pesa.
 
juzi Rais aliomba akutanishwe na Mwadhama ili angalau kutuliza munkali wa mambo baina ya Serikali na Kanisa🥺🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…