Eti mwadhama.Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.
"....baba Maaskofu wanakribia mno kuungana na watoe tamko kali litalo waacha watu wengi midomo wazi."
"....juzi Rais aliomba akutanishwe na Mwadhama ili angalau kutuliza munkali wa mambo baina ya Serikali na Kanisa."
"....huenda huduma za kijamii zitolewazwo na Kanisa zikasitishwa hadi pale uminywaji wa haki utakapikomeshwa."
Duru.
Hizi lugha ni za watu waliokata tamaa. Achana nazo.Unaongea kama umekalia gunzi
Hizo shule zenu za kata ndio zonazalisha hawa viongozi mafisadiKila kata ina zahanati, kila kata ina shule za msingi na sekondary na bado serikali inatoa ruzuku kwa kanisa kuendesha hospital za kanisa. Serikari ipo imara na itaendelea kuwa imara.
Hopeless part of the threadjuzi Rais aliomba akutanishwe na Mwadhama ili angalau kutuliza munkali wa mambo baina ya Serikali na Kanisa🥺🤔
Hilo halipo na hawawezi kulifanya. Kwani watakuwa wanakomoa wahuni au wananchi wakiwemo waumini wao?Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.
"....baba Maaskofu wanakribia mno kuungana na watoe tamko kali litalo waacha watu wengi midomo wazi."
"....juzi Rais aliomba akutanishwe na Mwadhama ili angalau kutuliza munkali wa mambo baina ya Serikali na Kanisa."
"....huenda huduma za kijamii zitolewazwo na Kanisa zikasitishwa hadi pale uminywaji wa haki utakapikomeshwa."
Duru.
Na unafikiri wakisitisha hizo huduma atayeathirika ni nani? Wewe ngumbaru una mtoto shule za msingi na Sekondari za Kikatoliki? Una ubavu huo?Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.