Ng'wanamalundi
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,203
- 1,422
Hicho kituko ni kipi? Unachoambiwa kuhusu corona ni kwamba unawe mikono na usiwe kwenye msongamano wa watu wengi. Wakiwapo wasimamizi wanne tu kwenye kufunga ndoa, waoanaji wawili na wahudumu wa hapo kanisani, ina maana watakuwemo watu wachache tu kanisani, kiasi kwamba kutakuwepo na nafasi kati ya mtu na mtu; ambacho ndicho kitu kinacholengwa. Wewe usiyeona mantiki katika kuaswa unawe mikono na utumie sanitizer, tuambie tufanye nini, kitu ambacho kitakuwa si upuuzi?Hizi tahadhari za corona ni vituko tupu!
Hao watu wanne ndio hawawezi kuambukizana?
Kama mtu mmoja anaweza kuwaambukiza watu kumi kwa siku katika mazingira tofauti tofauti, na watu kumi nao wakawaambukiza watu mia wengine katika mazingira tofauti tofauti, seuze watu wanne wenye kila chances za kuambukizana na wakaenda kuwaambukiza wengine majumbani?
I see no point with this corona bullshits! Nawa mikono sijui sanitaiza! Upuuzi mtupu!
A contagious disease, unawaambia watu nawa mkono?
Sent using Jamii Forums mobile app