Kanisa Katoliki liitishe maandamano nchi nzima siku ya jumapili baada ya misa kupinga ukatili aliofanyiwa Rev. Kitima

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima

Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi

Kanisa lina watu wengi nyuma yake likiamua kuonyesha nguvu yake nchi takuwa ngumu hii

Waafrika ni wafia dini sana kuliko wenye dini zao.

Ukitaka kutawala vizuri kaa vizuri na masheikh na mapadri.

Walokole,sijui wasabato hawajawahi na hawatawahi kuwa threat,ogopa sana waislam na wakatoliki
 
Hilo sahau, sio kwa nnji hii
 
The situation is so explosive. Hawatathubutu kufanya hivyo.
 
Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima

Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi

Kanisa lina watu wengi nyuma yake likiamua kuonyesha nguvu yake nchi takuwa ngumu hii
Hao Wakatoliki nao jua ndumila kuuwili vibaraka wa CCM hawawezi kabisa 100% badala yake wanaenda kuomba Raisi msamaha kwa matamshi ya baadhi ya viongozi wao.
 
Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima

Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi

Kanisa lina watu wengi nyuma yake likiamua kuonyesha nguvu yake nchi takuwa ngumu hii

Waafrika ni wafia dini sana kuliko wenye dini zao.

Ukitaka kutawala vizuri kaa vizuri na masheikh na mapadri.

Walokole,sijui wasabato hawajawahi na hawatawahi kuwa threat,ogopa sana waislam na wakatoliki
Isomwe novena tu hakuna namna. Wahusika wote na waliosikia huu mpango wakanyamaza iwahusu
 
Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima

Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi

Kanisa lina watu wengi nyuma yake likiamua kuonyesha nguvu yake nchi takuwa ngumu hii

Waafrika ni wafia dini sana kuliko wenye dini zao.

Ukitaka kutawala vizuri kaa vizuri na masheikh na mapadri.

Walokole,sijui wasabato hawajawahi na hawatawahi kuwa threat,ogopa sana waislam na wakatoliki
Alieanzisha ukatoliki ndio alieanzisha uislam baadae kwahiyo lazima misimamo ifanane!
 
Hakuna watu wana akili na smart kama viongozi wakuu kanisa katoliki. Maandamano sio kwa watu smart kichwani na wenye kufikiri, ipo namna sahihi.
 
Achana na maandamano wasubirie wiki ya uchaguzi watoe tamko la wakatoliki kutompigia kura Bi chura. Patachangamka sana
 
Alieanzisha ukatoliki ndio alieanzisha uislam baadae kwahiyo lazima misimamo ifanane!
Hatufanani hata kidogo,zipo njia zinazoeleweka za kutatua matatizo binafsi mimi siwezi kuandamana kisa ni Mkatoliki hili jambo lichukuliwe kitaifa.

Elimu itolewe kila mwananchi regardless imani yake aelewe hili jambo linaweza kumtokea yeyote hata mzazi wake so viongozi waihimize jamii kupambana kama taifa siyo kama waumini kazi ya Kanisa siyo kufarakanisha ni kuileta jamii pamoja kwa jema au baya.
 
Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima

Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi

Kanisa lina watu wengi nyuma yake likiamua kuonyesha nguvu yake nchi takuwa ngumu hii

Waafrika ni wafia dini sana kuliko wenye dini zao.

Ukitaka kutawala vizuri kaa vizuri na masheikh na mapadri.

Walokole,sijui wasabato hawajawahi na hawatawahi kuwa threat,ogopa sana waislam na wakatoliki
Chadema kwa kupenda vurugu, mmempiga Kitima ili wakatoliki wafanye maandamano? Yenu yamewashinda sasa mnahamasisha wakatoliki.
 
Hakuna wa kuandamana hapo. Labda mitandaoni
 
Watabaraswa tu, kama wale wenzao wa upande wa pili(waarabu weusi)walivyobaraswa pale mwembe chai. Magomeni.

Naskia kulikua na mabucha ya NOAH upande wa kwanza wa Road, halafu upande wa pili wa Road kuna nyumba ya ibada.

Naskia jamaa walikaa chini wakawazaaaa hivi haiwezekani nzi akapaa kutoka upande ule wa Road akaja huku kwetu kwenye nyumba?

Aaaa!!! Jamaa wakakiwasha.

Serikali haina dini, ukijichanganya unakula bakora tu
 
Back
Top Bottom