Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Alivyosulubiwa Yesu ( kulingana na imani ya wakristo ) mbona wafuasi wake hawakuandamana ?!Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima
Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi
Kanisa lina watu wengi nyuma yake likiamua kuonyesha nguvu yake nchi takuwa ngumu hii
Waafrika ni wafia dini sana kuliko wenye dini zao.
Ukitaka kutawala vizuri kaa vizuri na masheikh na mapadri.
Walokole,sijui wasabato hawajawahi na hawatawahi kuwa threat,ogopa sana waislam na wakatoliki
Au tukio la kushambuliwa kitima ni kubwa kushinda tukio la kusulubiwa Yesu na kuuawa kwake msalabani ?! ( Kulingana na mafundisho ya kiislamu Yesu au Nabii Isa hakuuawa wala hakusulubiwa !)
Yesu si kasema mtu akikupiga Kofi shavu moja mpe na shavu la pili?!
Sasa haya mambo ya kuandamana mnatoa wapi?!
Au siku hizi wakristo wameacha kumfuata Yesu na kumfuata Tundu Lisu badala ya Yesu ?!