Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Alivyosulubiwa Yesu ( kulingana na imani ya wakristo ) mbona wafuasi wake hawakuandamana ?!Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima
Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi
Kanisa lina watu wengi nyuma yake likiamua kuonyesha nguvu yake nchi takuwa ngumu hii
Waafrika ni wafia dini sana kuliko wenye dini zao.
Ukitaka kutawala vizuri kaa vizuri na masheikh na mapadri.
Walokole,sijui wasabato hawajawahi na hawatawahi kuwa threat,ogopa sana waislam na wakatoliki
Jana fr. alishambuliwa kisirisiri, lakini wakiandamana kulaani hilo shambulio ndiyo kabisaa—watashambuliwa mchana kweupe. Kumbuka, nchi yetu inatawaliwa na kundi la majambazi.Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima
Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi
Kanisa lina watu wengi nyuma yake likiamua kuonyesha nguvu yake nchi takuwa ngumu hii
Waafrika ni wafia dini sana kuliko wenye dini zao.
Ukitaka kutawala vizuri kaa vizuri na masheikh na mapadri.
Walokole,sijui wasabato hawajawahi na hawatawahi kuwa threat,ogopa sana waislam na wakatoliki
Kwani Kitima kashambuliwa na nani ?Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima