Uwazitu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 1,419
- 1,397
unatofautishaje kanisa na viongozi? kuna kanisa bila viongozi?..... mkuu unatetea usichokijua
Anatetea UPUMBAVU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatofautishaje kanisa na viongozi? kuna kanisa bila viongozi?..... mkuu unatetea usichokijua
Kanisa Katoliki libabaishwe na vitisho uchwara kama vyako! Eti waumini watagoma? Hulijui Kanisa Katoliki na waumini wake weweee! Bora ungekaa kimya!
Sababu ni mkatoliki mwenzao,mbona akiwa muislamu matamko huwa hayaishi,refers awamu iliyopita,hapo ni unafikiPo
Point zangu ni mbili manengelo. Unapotoa madai serious ya kwamba mtu au taasisi imewahi kuua watu lazima uwe precise and certain. Huyu jamaa eti hakumbuki! Sasa kwanini akaandika hoja hiyo?
Pili hizi taasisi za dini zinakua na maslahi yao kwa serikali iliyopo madarakani na kamwe haziwezi kwenda kinyume na serikali hizo ikiwa maslahi yao kama taasisi yanaangaliwa. Kama huko nyuma yaliwahi kufanya hivyo basi ujue maslahi ya taasisi husika yalikua hatarini. Chunguza
Maoni yake si maoni ya WakatolikiWakatoliki mjitafakari, za kuambiwa changanya na za kwako.
Kasome biblia yako ya ushetani usifu mashetani wenzio wauaji, watekaji, majizi na wote mnaokunywa damu zetu. Sisi ni wafuasi wa Kristo aliyepambana na uovu wenu akawashinda na nakuhakikishia tutawashinda kwa aibu kuu.Hujui ulisemalo na ulichoongea kimeonyesha ufinyu wa fikra zako. Kanisa halihusiani na siasa, fanyeni siasa acheni kulilia makanisa. Kanisa si chama cha siasa, ni makosa sana. Hicho ukitakacho ni upofu wako na hiyo kuzimu yako, soma biblia nawe utaishi.
Nina mashaka na huyo Kristo wako. Wafuasi wake wana hubiri neno lake tu, sio wanasiasa. Pole sana.Kasome biblia yako ya ushetani usifu mashetani wenzio wauaji, watekaji, majizi na wote mnaokunywa damu zetu. Sisi ni wafuasi wa Kristo aliyepambana na uovu wenu akawashinda na nakuhakikishia tutawashinda kwa aibu kuu.
Malipo yalisimama ukaweka mgomo?Sikuwa na ban
Kipofu, bubu, kiziwi... mahaba yamewafunika vifuniko vya macho na yamewaziba masikio na vinywa.Kama kweli kanisa halijawa compromised lijitafakari Ni Mara nyingi kanisa limeteleza haijaanza Leo.
Kanisa likishawahi kuuwa wanasasansi nadhani alikuwa Galileo au Corpenicus sikumbuki vema kisa aliamini kinyume na kanisa kwamba dunia ilikuwa duara.
Kanisa katoliki Tanzania kama kweli dhamira yenu inaongozwa na Roho Mtakatifu basi mjitafakari mara mbili juu ya uamuzi wenu wa kufumbia macho uhalifu uliofanywa na serikali kwenye zoezi la uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa.
Uhusiano binafsi unaotajwatajwa humu kati ya nyaisonga na magufuli hauna afya kwa kanisa hata kidogo na mtakuwa sehemu ya lawama Mambo yakiharibika.
Mwisho mjitafakari kama bado mna moral authority na credibility ya kula sadaka za waumini wenu wakati mnafumbia macho wanasiasa wanaobaka demokrasia yao?
Sijaona hoja ya kujibu hapa.Wakatoliki mjitafakari, za kuambiwa changanya na za kwako.
pole wewe nimegundua wala hujui lolote kuhusu siasa wala dini. Wewe ni msukule unaosombwa na majini yanayotuua yakijificha kwenye kichaka "usichanganye dini na salsa" yakikoselewa yakisifiwa yataiita dini ni siasa trust meNina mashaka na huyo Kristo wako. Wafuasi wake wana hubiri neno lake tu, sio wanasiasa. Pole sana.
I only trust God, who are you niweze kukuamini? Unaongea kwa siasa nyepesi ukiwa hujui hata unachokiongea. Akili yako ni nyepesi sana na unazolewa na upepo unakovuma usiijue kweli. Fungua akili yako ukayasome maandiko uijue kweli. Hizo siasa zenu nyepesi ni upuuzi mbele ya Mungu na ni ubunifu wa hao wachungaji na mapadre wako unaotaka waunge mkono upande fulani. Yesu hakuwa mwanasiasa wala haikuwa mission yake, ukiijua mission ya Yesu hapa duniani utakuwa umewajua wachungaji wako wanasiasa iwe wanaunga mkono serikali ama ni wapinzani kama wewe.pole wewe nimegundua wala hujui lolote kuhusu siasa wala dini. Wewe ni msukule unaosombwa na majini yanayotuua yakijificha kwenye kichaka "usichanganye dini na salsa" yakikoselewa yakisifiwa yataiita dini ni siasa trust me
The mission of Jesus of was to side with oppressors yes to oppress more the oppressed. Yes to side with the slave masters to enslave more the slaves.I only trust God, who are you niweze kukuamini? Unaongea kwa siasa nyepesi ukiwa hujui hata unachokiongea. Akili yako ni nyepesi sana na unazolewa na upepo unakovuma usiijue kweli. Fungua akili yako ukayasome maandiko uijue kweli. Hizo siasa zenu nyepesi ni upuuzi mbele ya Mungu na ni ubunifu wa hao wachungaji na mapadre wako unaotaka waunge mkono upande fulani. Yesu hakuwa mwanasiasa wala haikuwa mission yake, ukiijua mission ya Yesu hapa duniani utakuwa umewajua wachungaji wako wanasiasa iwe wanaunga mkono serikali ama ni wapinzani kama wewe.
You are a fool young man!! Mission ya Yesu haikuwa political, ndio maana nasema hujui hata unachokiabudu. Fanya siasa zako bila kuchanganya imani, vinginevyo hufit hukoThe mission of Jesus of was to side with oppressors yes to oppress more the oppressed. Yes to side with the slave masters to enslave more the slaves.
This is not about politics you idiot. Go and and read your bible from hell.
Yaani uliposoma to free the oppressed ukajua ni wanasiasa ama dhidi ya watawala!?? Think againThe mission of Jesus of was to side with oppressors yes to oppress more the oppressed. Yes to side with the slave masters to enslave more the slaves.
This is not about politics you idiot. Go and and read your bible from hell.
Rubbish rubbish huna hadhi ya huu mjadala kumbe. Young man my foot!!You are a fool young man!! Mission ya Yesu haikuwa political, ndio maana nasema hujui hata unachokiabudu. Fanya siasa zako bila kuchanganya imani, vinginevyo hufit huko
You want me to think and interpret the devil's way? You are a devil incarnate I will not argue with you spiritYaani uliposoma to free the oppressed ukajua ni wanasiasa ama dhidi ya watawala!?? Think again