Kanisa katoliki lijitafakari

Kanisa katoliki lijitafakari

Kanisa Katoliki libabaishwe na vitisho uchwara kama vyako! Eti waumini watagoma? Hulijui Kanisa Katoliki na waumini wake weweee! Bora ungekaa kimya!

Wakatoliki mjitafakari, za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Po
Point zangu ni mbili manengelo. Unapotoa madai serious ya kwamba mtu au taasisi imewahi kuua watu lazima uwe precise and certain. Huyu jamaa eti hakumbuki! Sasa kwanini akaandika hoja hiyo?

Pili hizi taasisi za dini zinakua na maslahi yao kwa serikali iliyopo madarakani na kamwe haziwezi kwenda kinyume na serikali hizo ikiwa maslahi yao kama taasisi yanaangaliwa. Kama huko nyuma yaliwahi kufanya hivyo basi ujue maslahi ya taasisi husika yalikua hatarini. Chunguza
Sababu ni mkatoliki mwenzao,mbona akiwa muislamu matamko huwa hayaishi,refers awamu iliyopita,hapo ni unafiki
 
Msimamo mingne ni watu binafsi, si ya kanisa, rejea waraka wa kwarezima, nadhani wa mwaka juzi
 
Hujui ulisemalo na ulichoongea kimeonyesha ufinyu wa fikra zako. Kanisa halihusiani na siasa, fanyeni siasa acheni kulilia makanisa. Kanisa si chama cha siasa, ni makosa sana. Hicho ukitakacho ni upofu wako na hiyo kuzimu yako, soma biblia nawe utaishi.
Kasome biblia yako ya ushetani usifu mashetani wenzio wauaji, watekaji, majizi na wote mnaokunywa damu zetu. Sisi ni wafuasi wa Kristo aliyepambana na uovu wenu akawashinda na nakuhakikishia tutawashinda kwa aibu kuu.
 
Nina mashaka na huyo Kristo wako. Wafuasi wake wana hubiri neno lake tu, sio wanasiasa. Pole sana.
 
Kama kweli kanisa halijawa compromised lijitafakari Ni Mara nyingi kanisa limeteleza haijaanza Leo.

Kanisa likishawahi kuuwa wanasasansi nadhani alikuwa Galileo au Corpenicus sikumbuki vema kisa aliamini kinyume na kanisa kwamba dunia ilikuwa duara.

Kanisa katoliki Tanzania kama kweli dhamira yenu inaongozwa na Roho Mtakatifu basi mjitafakari mara mbili juu ya uamuzi wenu wa kufumbia macho uhalifu uliofanywa na serikali kwenye zoezi la uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa.

Uhusiano binafsi unaotajwatajwa humu kati ya nyaisonga na magufuli hauna afya kwa kanisa hata kidogo na mtakuwa sehemu ya lawama Mambo yakiharibika.

Mwisho mjitafakari kama bado mna moral authority na credibility ya kula sadaka za waumini wenu wakati mnafumbia macho wanasiasa wanaobaka demokrasia yao?
Kipofu, bubu, kiziwi... mahaba yamewafunika vifuniko vya macho na yamewaziba masikio na vinywa.
Viongozi wa dini wenye kupata maslahi yao nje ya utumishi wa Mungu hawawezi, hawataweza wala haitatokea waweze kuonya, kukemea au kusemea maovu yoyote yatendwayo na wafadhili wao.
Kwa maana laana ya Mungu ikimuingia mtu humuondolea unyenyekevu na hofu ya Mungu ndani yake na kumfanya kiongozi huyo kuwa muumini mwenye kusujudia wafadhili wake na mwenye kujikwezwa kwa watu ili uonekane ucha Mungu asiokuwa nao.
Hakika wote wanaomfanyia dhihaka Mwenyezi Mungu na kutenda maovu wasipotubu mapema hawatakufa ila wamedhalilika na adhabu ya milele hawataikwepa.
Nimekumbusha
 
Nina mashaka na huyo Kristo wako. Wafuasi wake wana hubiri neno lake tu, sio wanasiasa. Pole sana.
pole wewe nimegundua wala hujui lolote kuhusu siasa wala dini. Wewe ni msukule unaosombwa na majini yanayotuua yakijificha kwenye kichaka "usichanganye dini na salsa" yakikoselewa yakisifiwa yataiita dini ni siasa trust me
 
I only trust God, who are you niweze kukuamini? Unaongea kwa siasa nyepesi ukiwa hujui hata unachokiongea. Akili yako ni nyepesi sana na unazolewa na upepo unakovuma usiijue kweli. Fungua akili yako ukayasome maandiko uijue kweli. Hizo siasa zenu nyepesi ni upuuzi mbele ya Mungu na ni ubunifu wa hao wachungaji na mapadre wako unaotaka waunge mkono upande fulani. Yesu hakuwa mwanasiasa wala haikuwa mission yake, ukiijua mission ya Yesu hapa duniani utakuwa umewajua wachungaji wako wanasiasa iwe wanaunga mkono serikali ama ni wapinzani kama wewe.
 
The mission of Jesus of was to side with oppressors yes to oppress more the oppressed. Yes to side with the slave masters to enslave more the slaves.
This is not about politics you idiot. Go and and read your bible from hell.
 
You are a fool young man!! Mission ya Yesu haikuwa political, ndio maana nasema hujui hata unachokiabudu. Fanya siasa zako bila kuchanganya imani, vinginevyo hufit huko
 
Yaani uliposoma to free the oppressed ukajua ni wanasiasa ama dhidi ya watawala!?? Think again
 
You are a fool young man!! Mission ya Yesu haikuwa political, ndio maana nasema hujui hata unachokiabudu. Fanya siasa zako bila kuchanganya imani, vinginevyo hufit huko
Rubbish rubbish huna hadhi ya huu mjadala kumbe. Young man my foot!!
 
Yaani uliposoma to free the oppressed ukajua ni wanasiasa ama dhidi ya watawala!?? Think again
You want me to think and interpret the devil's way? You are a devil incarnate I will not argue with you spirit
 
Back
Top Bottom