Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali.

Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo la kisiasa ambalo ni kanisa tu ndio linajua linataka nini.

Tunajua Samia ni Muislam.

Mwinyi na JK walipata shida sana kwa kanisa katoliki kuwapiga vita.

Je, CCM wajibu mapigo kwa kuingia na bendera,madera na nguo za chama makanisani?

Na UVCCM twende tumejipanga,kama ikitokea mapigano, tuwe tayari kuzichapa mpaka madhabahuni, bila kujali padre au askofu yumo ndani.

Tunajua Kitima,katibu was Baraza la maaskofu katoliki ni mwanachadema, maaskofu wamuonye,CCM tunauwezo wa kuingia humo, na kutaka ibada ziendeshwe bila upendeleo was kisiasa kama katoliki wanavyofanya sasa.

Kwanini Kanisa linaendekeza udini?

Rwanda waliuana kwa ujinga kama huu, Serikali ikemee.

Kuna siku kwaya nzima itaimba kanisani ikiwa na mavazi ya chadema au tutamuona askofu akiendesha gari yenye nembo ya M4C
 
#makanisasiouwanjawasiasa
 
Wewe kama vipi, vaa tu hizo nguo zako za uvccm, nenda! Ila masuala ya kutuletea mapolisi yenu yasiyo jitambua kanisani kufanya fujo, hayakubaliki hata kidogo.

Binafsi nimefurahishwa sana na namna Mhashamu Askofu alivyo yaumbua hayo mapoliccm kwa uongo wao.
 
Wewe kama vipi, vaa tu hizo nguo zako za uvccm, nenda! Ila masuala ya kutuletea mapolisi yenu yasiyo jitambua kanisani kufanya fujo, hayakubaliki hata kidogo.
Tutakutana makanisani, siasa inapigwa mahali popote, na padri akitushambulia kwa maneno, tutamjibu palepale bila kusubiri ibada iishe, na ikibidi ibada itavunjika na ngumi zitapigwa
 
Mbona pia hao hao wakatoliki walikuwa wakimsurubu JPM naye ilikuwaje? kwa mtazamo wangu JPM na ukatoliki wake waislam na na walokole ndo walikuwa naye bega kwa bega kuliko wakatoliki ...huo ni mtazamo wangu lakini
JPM aligundua maaskofu, baadhi ni warundi, nchi ikichafuka kwa vita wana pa kukimbilia
 
Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga serikali.

Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo LA kisiasa ambalo ni kanisa tu ndio linajua linataka nini.

Tunajua Samia ni Muislam.

Mwinyi na JK walipata shida sana kwa kanisa katoliki kuwapiga vita.

Je CCM wajibu mapigo kwa kuingia na bendera,madera na nguo za chama makanisani?

Na UVCCM twende tumejipanga,kama ikitokea mapigano, tuwe tayari kuzichapa mpaka madhabahuni, bila kujali padre au askofu yumo ndani.

Tunajua Kitima,katibu was Baraza la maaskofu katoliki ni mwanachadema, maaskofu wamuonye,CCM tunauwezo wa kuingia humo, na kutaka ibada ziendeshwe bila upendeleo was kisiasa kama katoliki wanavyofanya sasa.

Kwa nini kanisa linaendekeza udini?

Rwanda waliuana kwa ujinga kama huu, serikali ikemee.

Kuna siku kwaya nzima itaimba kanisani ikiwa na mavazi ya chadema au tutamuona askofu akiendesha gari yenye nembo ya M4C
Kifo kinakutafuta. Tubu umgeukie Mungu wa kweli maana utakapokufa ni hukumu. Shetani wako anayekupandikizia mbegu za chuki za kipumbavu, na ujinga kichwani mwako hatakuokoa pale utakapokua mbele ya Kiti cha hukumu yenye kutisha.
 
Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga serikali.

Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo LA kisiasa ambalo ni kanisa tu ndio linajua linataka nini.

Tunajua Samia ni Muislam.

Mwinyi na JK walipata shida sana kwa kanisa katoliki kuwapiga vita.

Je CCM wajibu mapigo kwa kuingia na bendera,madera na nguo za chama makanisani?

Na UVCCM twende tumejipanga,kama ikitokea mapigano, tuwe tayari kuzichapa mpaka madhabahuni, bila kujali padre au askofu yumo ndani.

Tunajua Kitima,katibu was Baraza la maaskofu katoliki ni mwanachadema, maaskofu wamuonye,CCM tunauwezo wa kuingia humo, na kutaka ibada ziendeshwe bila upendeleo was kisiasa kama katoliki wanavyofanya sasa.

Kwa nini kanisa linaendekeza udini?

Rwanda waliuana kwa ujinga kama huu, serikali ikemee.

Kuna siku kwaya nzima itaimba kanisani ikiwa na mavazi ya chadema au tutamuona askofu akiendesha gari yenye nembo ya M4C
KATOLIKI haihusiki, masalia ya SUKUMA GANG wapo kazini, huku Gwaji, Kule Syiiiro simeone
 
#makanisasiouwanjawasiasa
Kwa sasa huyo aliyevaa kofia pana ni Naibu Waziri, hapo ni Kanisani Tarime mwaka Jana kipindi cha kampeni. Hizo nguo ni za wafuasi wa ACT -WAZALENDO.
tapatalk_1629132748616.jpeg
 
Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga serikali.

Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo LA kisiasa ambalo ni kanisa tu ndio linajua linataka nini.

Tunajua Samia ni Muislam.

Mwinyi na JK walipata shida sana kwa kanisa katoliki kuwapiga vita.

Je CCM wajibu mapigo kwa kuingia na bendera,madera na nguo za chama makanisani?

Na UVCCM twende tumejipanga,kama ikitokea mapigano, tuwe tayari kuzichapa mpaka madhabahuni, bila kujali padre au askofu yumo ndani.

Tunajua Kitima,katibu was Baraza la maaskofu katoliki ni mwanachadema, maaskofu wamuonye,CCM tunauwezo wa kuingia humo, na kutaka ibada ziendeshwe bila upendeleo was kisiasa kama katoliki wanavyofanya sasa.

Kwa nini kanisa linaendekeza udini?

Rwanda waliuana kwa ujinga kama huu, serikali ikemee.

Kuna siku kwaya nzima itaimba kanisani ikiwa na mavazi ya chadema au tutamuona askofu akiendesha gari yenye nembo ya M4C
MODS HUU UZI KWA NIN MNAUACHA?
 
Zwazwa katika kiwango cha juu sana... Akili za uvccm ni tope kabisa.

Kwa akili zenu mnadhani mnaweza kutumia kanisa / misikiti kama mnavotumia mapolisi?! Poor Rob!

Mmeona huko mnapotumia nguvu za kijinga mnapuuzwa mnataka muingilie imani za watu kupandikiza uzezeta wenu?!... (Eti muingie kuvuruga ibada sababu tu watu wamegoma kuwasikiliza... kenge jike kabisa wewe)... Endeleeni kutumia virungu na kesi za ugaidi, mbinu mnayowaza as per your diminished thinking power itawamaliza... Nyambafu na nusu.
 
Back
Top Bottom