Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

Labda amedandia Ukatoliki.
Ukatoliki uliingia katika familia yetu miaka zaidi ya 100 iliyopita, hatukuona kanisa likiruhusu upuuzi huu was kufanya siasa kanisani
 
Ukatoliki uliingia katika familia yetu miaka zaidi ya 100 iliyopita, hatukuona kanisa likiruhusu upuuzi huu was kufanya siasa kanisani
Mkatoliki anayekwenda kupigana Kanisani?
Unaujua ukatoliki au unausikia kwa jirani? Tangu lini Kanisa katoliki likakaa mbali na siasa?
 
Mkatoliki anayekwenda kupigana Kanisani?
Unaujua ukatoliki au unausikia kwa jirani? Tangu lini Kanisa katoliki likakaa mbali na siasa?
Kuna siasa zinaendeshwa kwa mapigano, Zimbabwe,Maumau....basi kama kanisa limejiingiza katika siasa, tutaenda nao kisiasa
 
Ushahidi wa CHADEMA kufanya siasa kanisani uko wapi?
Kwa nini UVCCM ya sasa imejaa misukule!!??
 
Sasa na serikali na yenyewe kwanini inaruhusu police kwenda kukamata watu kanisani wanao muomba Mungu wao? Kuna kosa lolote la kikanisa au la serikali kwamba mtu akivaa nguo za chama fulani kanisanini kosa? Mengine either watu wake wanamfanyia fitina tu, unatumaje police kanisani ilihali hakuna vurugu zozote?
 
Niulize.. je, hao wote waliokamatwa ni waumini wa hilo kanisa?..
 
Wasio wakatoliki tuh,hata hao wengine baadhi yao ni shida Sana,mfano gwajima unaiona chuki yake waz waz
 
Tanzania bado tupo zama za mawe, Kuanzia Viongozi wa mtaa hadi ngazi za Juu, Haiwezekani hata kidogo kwa Nchi inayozingatia Uhuru wa kujieleza nk..viongozi wakae tu kimya kwa haya yanayoendelea kutokea Kanisani na hakuna hata Kiongozi moja anaekemea uzalimu wa namna hii, tufike mahali tukatae inatosha sasa,Haya yote ni kwa sababu ya Katiba mbovu tuliyo nayo.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kwani genge bambikizi silinaweza kufanya chochote na likapewa baraka zote.
 
Hao CCM na UVCCM wenyewe dini yao ni ya mashetani, siyo?.......mwambieni msajili alifute kanisa katoliki, sawasawa?
 

umesema vyema kwaiyo kuachwa huru kwa mashekhe wa uamsho na kupewa kesi ya ugaid wakina mbowe na maaskofu wa kikristo kumbe na lenyewe lipo kidini zaidi,
 
Kimsingi ccm mmeishiwa mbinu, Sasa hivi mmbeki kuangalia cdm wanafanya nini ili muwaige muonekane nyie ni zaidi, au muwafanyie bila ili kuzuia ushawishi vwao kwa umma. Ni hivi sio ccm kuenda tu na nguo zenu, bali mkifika nyie ndio mtoe sadaka kubwa, msome masomo yote. Mkiona hilo haliwatoshi laleni kabisa huko makanisani.

Ccm mnapata shida yote hii kwakuwa ccm sio chama cha kizazi hiki, bali mnashurutisha kukaa madarakani bila ridhaa ya umma, ndio maana mnapata tabu sana mnapoona wenye ushawishi wako na jamii.
 
Uzi huu, una chembechembe za kinafiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…