October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Ajizima na kujiwasha mshumaa hee. Kitima kumchana makavu apiga kelele hee.
Kanisa moja takatifu la mitume limeishi na serikali aina zote wee Samia unajipya gani wee.
Kipi hasa utishe watu. Waambiwa ukweli wajiliza sio. Ubabe waonyeshee hao.
Huku umekikwaa kisiki cha mpingo walahi. Watu wakuangalia unavyojijaza kwenye seva.
Wapewa nafasi wadhani waogopewa. Nye Kwanza kuteka mapadri si madharau hayo. Hehe. Na bado