Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Kumbe alipeleka wachawi bungeni.Huyu mama ni kiboko, wale wachawi aliowapeleka bungeni anawaamini kuwa watamsaidia. Wanachomdanganya ni kuwa watamsaidia kuongoza nchi.
Kumbe alipeleka wachawi bungeni.Huyu mama ni kiboko, wale wachawi aliowapeleka bungeni anawaamini kuwa watamsaidia. Wanachomdanganya ni kuwa watamsaidia kuongoza nchi.
Ajizima na kujiwasha mshumaa hee. Kitima kumchana makavu apiga kelele hee.
Kanisa moja takatifu la mitume limeishi na serikali aina zote wee Samia unajipya gani wee.
Kipi hasa utishe watu. Waambiwa ukweli wajiliza sio. Ubabe waonyeshee hao.
Huku umekikwaa kisiki cha mpingo walahi. Watu wakuangalia unavyojijaza kwenye seva.
Wapewa nafasi wadhani waogopewa. Nye Kwanza kuteka mapadri si madharau hayo. Hehe. Na bado
Jitahidi kuuficha huu ujinga wako kwa faida ya kizazi chako cha baadaye. Usifikiri humu jukwaani wamejaa vilaza.Uislam una zaidi ya miaka 2,000
kwa hiyo roman catholic church ilikuja nyuma ya uislam?Nikusahihishe kidogo, Kanisa Katoliki lilianza tangu mwanzoni mwa karne ya 1, lakini kumbukumbu za kimaandishi zinaonekana kuanzia mwanzoni mwa karne ya 2. Hii ni Catholic Church, siyo Roman Catholic Church. Neno Roman liliongezwa baada ya mgawanyiko wa mwanzo, ambapo Catholic Church iligawanyika kwenye makundi mawili, Roman Catholic Church na Orthofox Catholic (East Catholic Church).
Kumbukumbu:
The first use of the term "Catholic Church" (literally meaning "universal church") was by the church father Ignatius of Antioch (c. 50–140) in his Letter to the Smyrnaeans (circa 110 AD).
Kumbe alipeleka wachawi bungeni.
Kumbe hukuona?Kumbe alipeleka wachawi bungeni.
Kwa sasa ameamua kutumia vyombo vya dola, dini na jinsia yake kama silaha ya kujilinda. Lakini tukija kwenye uhalisia, tatizo liko sehemu moja tu! Kiatu alichovaa/valishwa hakimtoshi.Kilaza
mwandamizi anatishia mtu mwenye degree 6 😂
Anafosi udini uwe ishu kubwa ilihali mimi tatizo naliona ni ubongo wa kuku😂 ndio changamoto kubwa aliyonayo. Inferiority inayochangiwa na "Sikusoma sana" "Matokeo yangu sikufanya vizuri"Kwa sasa ameamua kutumia vyombo vya dola, dini na jinsia yake kama silaha ya kujilinda. Lakini tukija kwenye uhalisia, tatizo liko sehemu moja tu! Kiatu alichovaa/valishwa hakimtoshi.
Shida ya ccm na wenyewe walijichanganya ile 2015! Nina uhakika hawakuwahi kufikiri kama Magufuli angeweza kuondolewa hapa duniani kabla ya kumaliza muda wake! Na ndiyo maana wakamchagulia mgombea mwenza dhaifu.Anafosi udini uwe ishu kubwa ilihali mimi tatizo naliona ni ubongo wa kuku😂 ndio changamoto kubwa aliyonayo. Inferiority inayochangiwa na "Sikusoma sana" "Matokeo yangu sikufanya vizuri"
Ni sawa na Caterpillar kufungwa engine ya passo, lazma ichemshe tu.
Hivi huyo walikosana nini?...kwa...
Mkuu mudy ni wa karne ya6 na ndo mwanzilishi wa uislam katoliki wapo tangu karne ya3.!