October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Kwa muktadha huo,mtume si kaja nyuma ya masiha?Uislam ulikuwepo kabla ya hiyo karne
Uislam una zaidi ya miaka 2,000Kwa muktadha huo,mtume si kaja nyuma ya masiha?
2000 ipo hiyo?, huwaga mnasoma history ya vichochoroni? Hiyo dini tangu iundwe na waarabu haizidi hata 1400 years.Uislam una zaidi ya miaka 2,000
Kwa muktadha huo,mtume si kaja nyuma ya masiha?
Mama samuya suluhu hassan ana miswaki ya kidato cha nne na elimu ya hapa na pale ya kulitishia Kanisa Katoliki duniani.Ajizima na kujiwasha mshumaa hee. Kitima kumchana makavu apiga kelele hee.
Kanisa moja takatifu la mitume limeishi na serikali aina zote wee Samia unajipya gani wee.
Kipi hasa utishe watu. Waambiwa ukweli wajiliza sio. Ubabe waonyeshee hao.
Huku umekikwaa kisiki cha mpingo walahi. Watu wakuangalia unavyojijaza kwenye seva.
Wapewa nafasi wadhani waogopewa. Nye Kwanza kuteka mapadri si madharau hayo. Hehe. Na bado
Huyu mama ni kiboko, wale wachawi aliowapeleka bungeni anawaamini kuwa watamsaidia. Wanachomdanganya ni kuwa watamsaidia kuongoza nchi.Ajizima na kujiwasha mshumaa hee. Kitima kumchana makavu apiga kelele hee.
Kanisa moja takatifu la mitume limeishi na serikali aina zote wee Samia unajipya gani wee.
Kipi hasa utishe watu. Waambiwa ukweli wajiliza sio. Ubabe waonyeshee hao.
Huku umekikwaa kisiki cha mpingo walahi. Watu wakuangalia unavyojijaza kwenye seva.
Wapewa nafasi wadhani waogopewa. Nye Kwanza kuteka mapadri si madharau hayo. Hehe. Na bado
Karne ya 4, so what?Ajizima na kujiwasha mshumaa hee. Kitima kumchana makavu apiga kelele hee.
Kanisa moja takatifu la mitume limeishi na serikali aina zote wee Samia unajipya gani wee.
Kipi hasa utishe watu. Waambiwa ukweli wajiliza sio. Ubabe waonyeshee hao.
Huku umekikwaa kisiki cha mpingo walahi. Watu wakuangalia unavyojijaza kwenye seva.
Wapewa nafasi wadhani waogopewa. Nye Kwanza kuteka mapadri si madharau hayo. Hehe. Na bado
Mkuu mudy ni wa karne ya6 na ndo mwanzilishi wa uislam katoliki wapo tangu karne ya3.!Uislam ulikuwepo kabla ya hiyo karne
mwandamizi anatishia mtu mwenye degree 6 😂Mama samuya suluhu hassan ana miswaki ya kidato cha nne na elimu ya hapa na pale ya kulitishia Kanisa Katoliki duniani.