Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uende polisi ukatoe ushahidi wako tuNashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena ndani ya eneo la kanisa.
Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya kisiasa rafiki kwa kanisa letu.
Pia soma=> Polisi Dodoma yamshikilia Mlinzi wa Kanisa kwa tuhuma za mauaji ya msanii Man Dojo
Si ni kama wewe mtoto wa kiume kujiita samiaKama "Baba mtakatifu" wao anasapoti homosexuality unadhani waumini wana akili gani?
Muulize mlinzi, mtu kukaa kwenye banda la mbwa ni kosa na adhabu yake ni kifo??Mkuu unaweza tueleza hapo kwenye suala la kukutwa kwenye banda la mbwa. Ilikuwaje msanii wetu usiku wa gizani akawa kwenye banda la mbwa?
Hahahaha wameacha maandiko wameanza kumkanda binadamu mwenzao bila hatia🤣Waumini wageuka kuwa wananchi wenye hasira kali, ni roho mtakatifu au roho mtakafujo,
Nimeuliza tu, ila kama ni jambo la kawaida mtu kwenda sehemu isiyo kwake kukaa kwenye banda la mbwa usiku gizani hilo nimelijua leo.Muulize mlinzi, mtu kukaa kwenye banda la mbwa ni kosa na adhabu yake ni kifo??
Hata kama, sio kukimbilia kuua. Jinai ni jinai tuMnakwepa sana kusema matatizo aliyokuwa nayo msanii wenu.
Hatari sana,dunia ishachafukaInafikirisha sana waumini wa kanisa katoliki kumuua mtu kanisani.
Sijui tukimbilie wapi?Hahahaha wameacha maandiko wameanza kumkanda binadamu mwenzao bila hatia🤣
Braza kua serious basi, yaani hawakumpa adhabu ya kifo ila walimpiga mpaka kupelekea kifo chake, hizo siasa sasa..Nimeuliza tu, ila kama ni jambo la kawaida mtu kwenda sehemu isiyo kwake kukaa kwenye banda la mbwa usiku gizani hilo nimelijua leo.
Ni kosa kukaa kwenye sehemu usiyotakiwa kukaa. Au uko kwenu ni ruksa kujificha kwenye mabanda ya mbwa wa taasisi za watu?
Ila si sahihi kumuua aliyejificha bandani, hata hivyo hawakumpa adhabu ya kifo bali walimpiga na ikapelekea kifo chake. Wakati tunawahukumu kumpiga, tujiulize mazingira ya mtu kujificha banda la mbwa gizani.