Kanisa Katoliki litoe tamko suala la Mandojo kuuliwa na mlinzi akishirikiana na waumini waliokuwa wameenda misa ya kwanza

Muulize mlinzi, mtu kukaa kwenye banda la mbwa ni kosa na adhabu yake ni kifo??
Nimeuliza tu, ila kama ni jambo la kawaida mtu kwenda sehemu isiyo kwake kukaa kwenye banda la mbwa usiku gizani hilo nimelijua leo.

Ni kosa kukaa kwenye sehemu usiyotakiwa kukaa. Au uko kwenu ni ruksa kujificha kwenye mabanda ya mbwa wa taasisi za watu?

Ila si sahihi kumuua aliyejificha bandani, hata hivyo hawakumpa adhabu ya kifo bali walimpiga na ikapelekea kifo chake. Wakati tunawahukumu kumpiga, tujiulize mazingira ya mtu kujificha banda la mbwa gizani.
 
hata baadhi ya walionusurika mauaji ya kimbari rwanda miaka ya 94 wanasimulia kuwa baadhi ya wenzao walikimbilia makanisani walichinjwa huko huko🤔🤔 inafikirisha
 
Nimeuliza tu, ila kama ni jambo la kawaida mtu kwenda sehemu isiyo kwake kukaa kwenye banda la mbwa usiku gizani hilo nimelijua leo.

Ni kosa kukaa kwenye sehemu usiyotakiwa kukaa. Au uko kwenu ni ruksa kujificha kwenye mabanda ya mbwa wa taasisi za watu?

Ila si sahihi kumuua aliyejificha bandani, hata hivyo hawakumpa adhabu ya kifo bali walimpiga na ikapelekea kifo chake. Wakati tunawahukumu kumpiga, tujiulize mazingira ya mtu kujificha banda la mbwa gizani.
Braza kua serious basi, yaani hawakumpa adhabu ya kifo ila walimpiga mpaka kupelekea kifo chake, hizo siasa sasa..

Hata kumpiga tu hata kama sio kumuua bado ni kosa, wewe unaetetea wauaji tiambie mlimkuta anafanya nini hapo bandani??
 
Back
Top Bottom