GE2025 Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Duh! Kwa hiyo hii sala iliyotolewa kwa mama ni batili?
 
Tiss kanisani ndo wanaleta shida
Ukipiga picha na mwizi nawe mwizi ndio.

Uamuzi wa kanisa ni kujitenga na wagombea wote siyo ccm pekee.

Ccm nao wakae mbali na dini, walimfungia Gwajima kwa kumkataa Samia hivyo ccm kutengwa sioni tatizo.
 
Ukipiga picha na mwizi nawe mwizi ndio.

Uamuzi wa kanisa ni kujitenga na wagombea wote siyo ccm pekee.

Ccm nao wakae mbali na dini, walimfungia Gwajima kwa kumkataa Samia hivyo ccm kutengwa sioni tatizo.
Ilikua kosa kubwa kama la kumweka Lissu ndani kosa kabisa la kimkakati angeendelea na no Reforms wangemuacha impact ilikua ndogo
 
Nina wasiwasi na huyo Kadinali Rugambwa atakuwa haendi sawa na wenzake na inaweza mgharimu
 
Wapigwe anatema tu
 
Wale wangeonekana kwenye kampeni za CHADEMA ingekuwa kesi wanafanya siasa kwenye dini. Kanisa Katoliki au convent au monastery yao ingefungiwa.
 
Wale masista wa ndola, wavuliwe vilemba, na wafukuzwe utawani, warudi uraiani kuunga vizuri juhudi za Mgombea husika wa mitano tena.

Wapewe na khanga na tisheti wakenue zaidi.
Lol
Wawafute, kwani huko Kuna nini zaidi ya kuwaweka na shauku tu?!!!
 
Shida yao maaskofu hawa wa kikatoriki ni Samia tu basi, kwa vile ni muislamu!!!! Ni hilo tu na hakuna jingine zaidi. Kujaribu kujitenga na kiongozi mkuu wa serikali na kujaribu kujiharibia kwa Kila namna ni changamoto ya kuzidiwa na chuki tu basi lakini ukweli ni kuwa ni kitu kisichowezekana.
 
Naunga mkono hoja
 
Hivi mwanaume nae ambae sio padri anaitwa mtawa kumbe
 
Akili yako imejaa makamasi.

Matako yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…