GE2025 Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hiko chama hakijui kuchanganya dini na siasa?

Ama wakiungwa mkono wao sawa, ikitokea wakakemewa ni siasa.

Hili jambo lingekuwa ndo chaummmaa kanisa hakuna rangi lingeacha kuona.

Kwa vile ni wao, unaona political preference.

Vyuoni tu wamepiga mikwara kufanya siasa, lakn ikiwa green husikii kelele. Ngoja wengine wafanye, maneno lukuki.

Waache woga wa kipumbavu.

Kuna watu wanadumaza sana ccm wakat ina watu thabiti wa kupambana kwa hoja.
 
Ilikua kosa kubwa kama la kumweka Lissu ndani kosa kabisa la kimkakati angeendelea na no Reforms wangemuacha impact ilikua ndogo
Weee kwa uchanguaji gani. Leo ingekuwa shida kubwa sana. Yote waliyofanya bado ni shida.


Pekee ilikuwa ni kukubaliana na baadhi ya hoja zake tu.
 
Tatizo watu wengi hatufanyi analysis za nje ya box tunahamisha hisa zetu kwenye mambo kama haya.

Ila tukio la watawa kushiriki mkutano wa Chama, kushika mabango ya Chama na kufanya interview in favour ya mgombea katikati ya sauti zisizoeleweka za viongozi wa Kanisa kuhusu chama na Serikali lina maswali mengi zaidi kwa kanisa kuliko maswali unayouliza kwa chama.

Kutoa utetezi wa kuwa watawa hawana radio au wamerubuniwa ni utetezi dhaifu kuliko utetezi wowote niliousikia. Kwa uzoefu wangu watawa wengi ni knowledgeable sana. Nadhani tulipaswa kuhoji utetezi wa Ask. wolfgang. Lakininkwa kuwa wabongo wengi hatujadili mambo kiundani Askofu atapenya kiulaini kabisa
 
Watawa ni “Knowledgeable” tangu lini.
Wapo wasomi ndio, ila si wote.
 
Tiss kanisani ndo wanaleta shida
Hakuna cha TISS ni CCM wanatafuta huruma ya waumini, katoliki waliushasema no reforms no election.

Sielewi tatizo la ccm ni nini hasa, wanauwezi kujitangaza washindi hata bila uchaguzi lakini wanalazimisha tushiriki uchaguzi ili iweje?
 
Ilikua kosa kubwa kama la kumweka Lissu ndani kosa kabisa la kimkakati angeendelea na no Reforms wangemuacha impact ilikua ndogo
Hahaha, wangemuacha sasa hivi nchi nzima wangesha msusia Samia hata mikutano ya siasa.

Waliona mbali lakini haitawasaidia Lisu wakimwachia hata leo uchaguzi utakuwa wa moto.
 
Kumbe huna uelewa wa kiwango hiki kwenye masuala ya Kanisa Katoliki!

Hapo ametoa maelekezo hayo kama Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania. Hivyo ni lazima kauli yake liheshimiwe na Kanisa lote Katoliki la Tanzania.
Watawa waliompokea Samia ama kwa kuombwa, ushabiki au ufuasi wapewe suspension miezi sita wakavae kanga za samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…