Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,193
- 2,066
Wana bodi poleni kwa msiba mkubwa.
1.Pamoja na kuwa uapisho halamu wa tarehe 03.11.2025 uliwakilishwa na padre na siyo ASKOFU.
2. Pamoja na kuwa Padre aliyewakilisha hakutia baraka na hakumbariki Rais wala makamu wa wake(DR. NCHIMBI alikuwa FRATERI WA SEMINARI KUU YA PERAMIHO )alielewa umuhimu na uzito
3. Pamoja na kuwa Padre aliyewasilisha alienda na mavazi ya msiba na maombolezo (Rangi za nyeusi na zambarau)
4.Pamoja na kuwa Padre aliyewakilisha aliombea walio uawa kwenye uchaguzi .
Lakini sherehe zile za danu hazikufaa kuwepo padre ,katekista yeyote alikuwa anafaa kuwakilisha TEC.