Katoliki walituma ujumbe tosha maana yule Padri alivaa kanzu nyeusi na collar ya purpe. Hayo ni mavazi wanaovaa mapadri wakatoliki wakati wa Msiba au maombolezo
Pale yule kasisi alionesha yuko kwenye maombolezo/msiba wa Watanzania waliopoteza maisha na kuwa tukio lile halikuwa la furaha.
Lingekuwa tukio la furaha angevaa kanzu nyeupe na collar ya cream au green.