cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ndioo ndiooWatu wengi wanaishi kwa kuangalia macho ya watu, kuangalia jamii inawaonaje, si kwa kuangalia wao wenyewe wanataka kuishi vipi?
Matokeo yake unafiki mwingi.
Unatoa kwa kulazimishwa huku roho inakuuma, bora hata tuliojiamukia tusiende kanisani kabisa, hatutaki unafiki.