Kanisa Katoliki mnazingua, michango imekuwa kero

Ndioo ndioo
 
Toa Bwana toa ndugu ulichonacho, Hata mimi siku si nyingi, Nipeni Tips za kanisa lililobora hasa linalojali waaumini wake, imagine unasali sehemu miaka kumi hata padre hajui unaishi wapi waumini mnasalimiana saa ya mkono wa amani kwasababu tu sio Tajiri!
 
Ukiona muumini analalamika kuhusu michango/sadaka ana asili ya uchoyo na ukiona madhabahu muda mwingi inahubiri kuhusu sadaka bhasi kuna mahali imeyumba
 
Sadaka nitasaidia watu wenye shida mi mwnyw sina haja ya kupeleka sadaka makanisan au msikitini , eti unamtolea MUNGU πŸ€” kwamba uyo MUNGU ni maskini sana amaπŸ€”. Sadaka ya kweli ni kumsaidia mwanadamu mwenzΓ ko mwenye uhitaji. Dini ni taasisi tu kama taasisi zengine, timu inachanga wanunue jezi na mipira ni sawa na kanisa mnachanga mchango wa ujenzi wa kanisa na gari la paroko sijui nyumba za mapadri. Angalau sadaka Ile Moja tu ndo angalau ata wanaipeleka Kwa watoto yatima , ila usipotoa sadaka ni sawa tu mana utaitoa Kwa kuwasaidia wenye uhitaji, jirani Yako Hana unga umempatia apo sadaka tayari swafi
 
MUNGU haitaji pesa zako ety umtolee yeye , wapigaji wanawadanganya eti unamtolea MUNGU πŸ€” sasa nani anampelekea MUNGU hzo sadakaπŸ€” . MUNGU anataka uwasaidie binadamu wenzako wenye shida huu ndo upendo unaotakiwa , nje ya hapo ni michango tu ya kanisa kama michango mengine ukijiskia kutoa sawa usipojskia sawa usilazimishwe na mtu et utoe mchango wa askofu sijui paroko wakati jirani Yako Hajala siku ya tatu
 
Tafuta hela uone raha kulichangia kanisa lako
 
Nakubaliana nawe
 
Halafu kwenye Jumuiya kuna ujinga wa ku Propose Michango,target ikiwa ni MTU Fulani ambaye wanahisi ana Kipato
Mimi najua jinsi ya kwenda nao, wakipitisha Michango yao namna ya kutoa ni Pasu Pasu, yaani unaigawa sawa Kwa kila Kichwa
Mpaka akili ziwake sawa
Ukiendekeza Sana hiyo Michango hutafanya la Maana
 
Yani umeambiwa utoe laki unatoa 50k au?
 
RC wamezidi sana, michango kama vile wanadai mikopo kwa waamini wao, too much michango kila aina, michango inapewa majina ya kila aina, yote kukusanya fedha kila kukicha, imekuwa too much, sio sadaka tena ni kukusanya fedha kama wamekopesha waamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…