Kwangu Mimi huyu ndo president aliyenipeleka kwenye "confort zone" kwa kutoa fursa za kiuwekezaji na kufungua nchi..ni yy ndio anaeajiri maelfu ya vijana wa kitz na fursa kemkem...Nyinyi mna chuki binafsi kwa uzanzibar wake na uislam wake..shame on you
Unaongea Ujinga sana
Kwani kuajiri ni Rais gani ambae hajawahi kuajiri? Ni nani ambae hajawahi kutoa Fursa: hayo ni majukumu ya kawqida na ni mpango wa Serikali kufanya hivyo kila Financial year sio mpango wa Rais
Samiq ni worst president in our history , however you soften
Ni Rais pekee aliyeishiq darasa la saba na kupata elimu ya kuunga kama mabehewa ya SGR
NI RAIS pekee aliyebadili history ya nchi kwa kufanya masacree , hili ataenda nalo kaburini . Ni katika moment hizo mbaya haItomuqcha salama
Ni Rais pekee aliyekalia kit kwa kumwaga damu , haijawahi kutokea
Samia carries the devil soul , it always start with woman , hata kwenye mythical story ya adam na Hawa , it started na mwanamke…. Samia ana devil soul , she is a devil in human form …. The worst part hata yeye hajui kuwa she is possessed demonically
Ni Rais pekee anaeuza national resources kwa waarabu, akili kisoda
Muarabu atakuletea maendeleo gani ?
Kuhusu maendeleo you better keep quite :
Kuhusu uzanzibqr na udini hiko ni kichaka cha incompetence ya huyo mama, otherwise hoja ya udini na umakunduchi ni immaterial na hakika sidhan kama kweli kuna mtanzania anamchukiq bibi Samia kwa hayo usemayo
Wewe pia ni kiazi mviringo mwinge, Cat face