Leonce jr JF-Expert Member Joined Oct 5, 2023 Posts 3,223 Reaction score 5,323 May 1, 2025 #1 Kanisa roman catholic ni kubwa kuliko serikali ya Kenya na nchi zingine matumizi ya nguvu bila akili kitaonekanan kinachotafutwa kila mtu atakuwa anaongea lake kwenye serikali yake.
Kanisa roman catholic ni kubwa kuliko serikali ya Kenya na nchi zingine matumizi ya nguvu bila akili kitaonekanan kinachotafutwa kila mtu atakuwa anaongea lake kwenye serikali yake.