Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huyo paroko msaidizi kwani hayupo ajitokeze mwenyewe hadharani?Wanatuchanganya.
Tukubali tu hakuna Padre au Paroko wa kuweza kufanya huu ujinga.
Okokeni!😂😂😂😂😂😂kwani ni mara ngapi mapadri wanaonekana kwa waganga wa kienyeji? mapadri wangapi hawana hirizi? okokeni ninyi wakatoliki.
Huyo paroko msaidizi kwani hayupo ajitokeze mwenyewe hadharani aseme sio yeye?Niamini mimi hatuna mapadre washenzi washenzi
Ni Padri.Msaidizi wa paroko ni paroko
Huyo padri kama si yeye, mbona hajitokezi hadharani aseme sio yeye.Hapo sawa, nilishtuka sana kusikia padre
Duh! Roboti umefufuka? Mihemko ya Polisi na kukosa weledi.Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi.
Which is which??
Pia soma Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Ndivyo mlivyo pumbazwa na viongozi wenu wa dini hao wajinga?Ngumu sana kuwa na Padre muuaji.
Mapadre wanapitia mchujo wa miaka mingi sana kufikia hapo.
Hii taarifa ni ngumu kuiamini
ANYBODY CAN DO USHENZI
Mapadre wako wa aina mbili Kuna wa mashirika na wa majimboKumbe siku hizi kanisa katoliki linawapangia mapadre vituo vya kazi mikoa waliyozaliwa?
Unapodanganya watu wenye akili hakikisha una akili za ziada.
Sahihi.Huyo padri kama si yeye, mbona hajitokezi hadharani aseme sio yeye.
Mbona mnahangaika sana kusema sio yeye?
Tuwe na subira jamaa yangu ukweli utajulikanaHuyo paroko msaidizi kwani hayupo ajitokeze mwenyewe hadharani aseme sio yeye?
Ina maana jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba ni paroko msaidizi?
Kama sio yeye kweli, Huyo paroko msaidizi si ajitokeze hadharani akane kwamba sio yeye?
Mbona mpaka sasa hakuna paroko yeyote msaidizi aliyejitokeza kukana hizo tuhuma, which means huyo mtuhumiwa ndio huyohuyo paroko mwenyewe msaidizi.
Kama kuna paroko msaidizi mwingine tofauti na huyo aliyetajwa mbona hajitokezi hadharani aseme yeye ndio paroko msaidizi wa hiyo parokia?
Hawezi kukanwa yule sio padre. Hajawahi hata kusalisha. Msikuze vitu vya kijingaWanaweza wakamkana wakasema si padri au alishaachana na upadri
Mjinga ni mjinga tuMsaidizi wa paroko ni paroko